Recent content by ricktz

  1. ricktz

    Navy Kenzo wajipanga upya, wambwaga meneja wa Diamond

    #ETrending Kundi la muziki la @navykenzoofficial likiwa kwenye maandalizi ya kuachia kazi mpya hivi karibuni. Habari za chini ya carpet ni kuwa kundi hilo la muziki limesitisha kufanya kazi na meneja wao #SallamSk ambaye pia ni meneja wa @#DiamondPlatnumz Navy Kenzo wapo mbioni kuachia kazi zao...
  2. ricktz

    Jay Z na Beyonce watoa zawadi ya kifahari kwa mtoto wa Kanye

    Jay Z na Beyonce wameamua kumuandalia zawadi ya kifahari maalumu kwa ajili ya mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian ambaye anasiku 2 toka azaliwe. Beyonce na Jay Z wametoa oda maalumu kwenye kampuni inayotengeneza vidani inayofahamika kwa jina la Lorraine Schwartz kumtengenezea mtoto huyo kidani...
  3. ricktz

    The Game Afiwa na Baba yake Mzazi

    Rapa wa miondoko ya HipHop nchini MarekaniThe Game amepata pigo baada ya kufiwa na baba yake mzazi aliyefahamika kama George Taylor. George Taylor amefariki akiwa na umri wa miaka 65. Kutoka na taarifa zilizotolewa na tovuti maarufu nchini Marekani ya TMZ zinasema kuwa mzee huyo alikutwa...
  4. ricktz

    Nay wa Mitego apata pigo kubwa

    So haitakiwi kupost habari kama hizi?
  5. ricktz

    Nay wa Mitego apata pigo kubwa

    Nay wa Mitego anauanza mwaka 2018 kwa kupitia mtihani huu mkubwa sana kwake akiwa kama msanii. Hii ni baada ya wadukuzi kuweza kuichukua akaunti yake ya #YouTube na kufuta video zake zote ambazo aliziweka kwenye akaunti yake hiyo, yaani video zote ambazo ameziweka kwenye akaunti yake toka aanza...
  6. ricktz

    STUDIO MPYA KWA UKOMBOZI WA WASANII - MWANZA

    Wasanii na makampuni yote ya kanda ya ziwa hii ni fursa kwenu. RICK ENTERTAINMENT inakuletea studio ya kisasa Jijini Mwanza inaitwa REVOLUTION SOUND. Hapa ndipo zimefanywa hits kibao kama, Mo music - NITAZOEA Young Killer - Umebadilika na For U Tonny Cousin feat Mr Blue -Kibabe Baraka the...
  7. ricktz

    STUDIO MPYA KWANZA KWA UKOMBOZI WA WASANII

    Wasanii na makampuni yote ya kanda ya ziwa hii ni fursa kwenu. RICK ENTERTAINMENT inakuletea studio ya kisasa Jijini Mwanza inaitwa REVOLUTION SOUND. Hapa ndipo zimefanywa hits kibao kama, Mo music - NITAZOEA Young Killer - Umebadilika na For U Tonny Cousin feat Mr Blue -Kibabe Baraka the...
  8. ricktz

    Hizi ndizo aina 5 za upendo

    Inaonesha thinkin capacity yko iko low sana
  9. ricktz

    Hizi ndizo aina 5 za upendo

    .................................................. Upendo ni neno la kawaida sana kutumika vinywani mwetu katika maisha ya kila siku. Neno upendo lina maana kubwa sana pengine ni tofauti kabisa na sisi tunavyolitumia, Je ulishwahi kufikilia kuna aina ngapi za upendo?. Basi twende sawa hap chini...
  10. ricktz

    OFA OFA OFA YA KUREKODI NYIMBO NA MATANGAZO

    OFA OFA OFA YA KUREKODI NYIMBO NA MATANGAZO ______________________ TROPIC SOUND ni studio mpya iliyopo jijini MWANZA inakupa ofa ya kurekodi nyimbo yako au tangazo kwa bei ya chini kabisa katika msimu huu wa SIKUKUU ZA KUFUNGA MWAKA. Ukirekodi nyimbo utapata nafasi ya 1. KUWEKA NYIMBO YAKO...
  11. ricktz

    Jinsi ya kumudu mapenzi ya mbali...

    Na FREDRICK KISALALA Siku zote mapenzi huyapa maisha thamani lakini wapo ambao hujikuta kwa namna moja ama nyingine wanatengana na wapenzi wao kwa sababu tu ya mihangaiko ya kila siku ya kujitafutia riziki. Masomo na wakati mwingine utengano huwa ni matokeo ya wapendanao kuishi sehemu tofauti...
  12. ricktz

    Wanawake wanakosa mengi kwa wanaume wa kileo

    Safi sana ur so positive
  13. ricktz

    JE UNAHITAJI KUFANYA KAZI NA PRODUCER T-TOUCH?

    Jina lako lina akisi uyaandikayo. Wewe kila kitu unapinga tu hahahaahaa ndomana watanzania wengi masikini
  14. ricktz

    Wanawake wanakosa mengi kwa wanaume wa kileo

    Orodhesha apa ni vitu gani ambavyo wanawake wanavikosa kwa wanaume wa miaka ya sasa. Mimi naanza 1. MAPENZI YA KWELI 2. KUJALIWA
  15. ricktz

    JE UNAHITAJI KUFANYA KAZI NA PRODUCER T-TOUCH?

    Katika kile tunachokiita kusapoti vijana wenye vipaji, Theclick101 imekuandalia utaratibu maarumu ambao wasanii wachanga watapata muda wa kukutana na producer anayefanya vizuri kwa sasa na nyimbo ya TOO MUCH, MUZIKI, KOMELA, MR NAY, CHAFU POZI, LIGI NDOGO na nyingine nyingi. Anaitwa Mr T- Touch...
Back
Top Bottom