NAVY KENZO WAJIPANGA UPYA, WAMBWAGA MENEJA WA DIAMOND

ricktz

Member
Joined
Jun 25, 2016
Messages
20
Points
45

ricktz

Member
Joined Jun 25, 2016
20 45
#ETrending Kundi la muziki la @navykenzoofficial likiwa kwenye maandalizi ya kuachia kazi mpya hivi karibuni. Habari za chini ya carpet ni kuwa kundi hilo la muziki limesitisha kufanya kazi na meneja wao #SallamSk ambaye pia ni meneja wa @#DiamondPlatnumz

Navy Kenzo wapo mbioni kuachia kazi zao zijazo wakiwa chini ya uongozi mpya ambao ni kampuni kubwa ya kusambaza na kusimamia kazi za wasanii duniani (Jina Kapuni).
.
.
#RickMedia
#NewsChamber
#EntertainmentChamber
IMG_20191009_220949_729.jpeg
 

Forum statistics

Threads 1,343,334
Members 515,022
Posts 32,781,073
Top