Tunashukuru sana kama imefikia hatua uykaona umuhimu wa kujiunga na JF. Katika kampeni za Igunga ulituhumiwa na kujihusisha na kutumia nafasi yako kama meneja wa kampeni kutembea na wake za watu hususana wananchama wenzako wa CCM, je tuhuma zinz ukweli wowote?
Wewe umesahau simplicity na urahisi wa huduma hizi kwa wananchi amabo kuaccess huduma za kibenki ni ndoto. Hebu fikiria jinis ilivyokuwa rahihi kuwatumia fedha wazazi vijijini, watoto shuleni, wafanyakazi mashambani n.k all this contributes positively kweny uchumi wa nchi
Nashukuru sana kwa majibu mazuri yaliyoshaheni nadharia bila real situation on the ground. Unafahamu kabisa kuwa lipo tatizo kubwa la wananchi kutokufahamu majukumu hasa ya mbunge hususan jukumu ya la "kuisimamia na kuishauri serikali" kama ambavyo unatakakuonyesha kuwa ni bingwa.
Lakini...

Nushukuru sana kwa kuwa inaelekea ulinielewa vyema katika uzi wangu "Mnyika Mkonge unakuhus nini, kachape kazi jimboni? japo moderators hawakunitendea haki kwa kuufuta.
Wewe unatakam limchafue mara ngapi? Bila Kashfa hii nakuhakikishia hata CCM wangeiba vipi wasingeweza kupiku kura zake/ Likini imagne watu wa ngazu za chini ambao ndio wengi burudani pekee waliyonayoo ni katika ndoa zao asa anatokea mtu wa CCM anadai mgombea huyu kapor mke wa mtu, unafikiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.