Habari wakuu.
Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi.
Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao
Je nnaweza nikapata nssf yangu...
Hiki kitu nlitoka kumwmbia mtu Jana.....
Pia kuna movie inaitwa David...inaelezea historia ya daudi.
Haikuwa miujiza Bali n hesabu za daudi Tu zilikubali....Kwa maana hawakupigana ila daudi ndiye alimpiga Goliath Kwa jiwe tena kwenye kombeo......hatuwez kukataa fact Kua daudi alikua shujaa...
Casino industry ni industry ambayo watu weng wa outside wanaichukulia negative Sana...lkn iko tofaut sana na watu wanavyoichukulia.
Mimi nnfnya kaz casino mwaka WA Saba huu na mafanikio yng n makubwa compare to other industries. Wife pia yupo humu na sio mm Tu mwnye mke humu.
Watu wanafnya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.