Recent content by richnigga

  1. richnigga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    A Bronx Tale
  2. richnigga

    JamiiForums Tanzania Tusalimiane kikwetu..

    Nzumwike!??
  3. richnigga

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuwa makini na Bashiru, Membe ameshinda kabla ya pambano!

    Hamna kitu hapo. Ni mind games tuu
  4. richnigga

    JamiiForums Tanzania Pongezi (za awali) kwa CHADEMA kwa uamuzi mgumu dhidi ya Kubenea na Komu

    Hizi ni propaganda
  5. richnigga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nn ugonjwa wa mafua unaitwa ugonjwa wa mapenzi

    bcoz sex can unlock stuffy nose!
  6. richnigga

    JamiiForums Tanzania Serikali imepiga marufuku madaktari kuwaandikia wagonjwa dawa kwa kutumia majina ya kampuni

    Wabobezi wa madawa ni Pharmacists.
  7. richnigga

    JamiiForums Tanzania Serikali imepiga marufuku madaktari kuwaandikia wagonjwa dawa kwa kutumia majina ya kampuni

    Kama madaktari wanajua tu brand names basi watuachie Pharmacists kazi ya kuprescribe... We're drug experts and no body else. Tubadili mfumo tuu. #Pharmacy.#ANobleProffesion
  8. richnigga

    JamiiForums Tanzania Tupia broken english yako hapa

    "I can't you even small". ... Sikuwezi hata kidogo
  9. richnigga

    JamiiForums Tanzania Post a word starting with the last letter of the previous word

    Xavery Sent using Jamii Forums mobile app
  10. richnigga

    JamiiForums Tanzania Post a word starting with the last letter of the previous word

    York Sent using Jamii Forums mobile app
  11. richnigga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Wazungumza na Vyombo vya Habari Nchi Kutikisika

    Huyu mwanahabari huru sio "mwanahabari huru" katika uhalisia
  12. richnigga

    JamiiForums Tanzania Ngurumo: Kwenye siasa hatufuati watu. Ukiwafuata watakuacha solemba. Fuata misingi

    Wanasiasa bhana.. . waongo saaana. Hata hawa akina Ngurumo wanaojifanya kuchambua haya mambo sio wa kuwaamini kabisa... Wako kimaslahi yao zaid. Kama kijana mtanzania, unachotakiwa ni kufanya analysis yako mwenyewe kisha chagua upande unaofaa.. Hautokuja kuregret kuwa upande huo.Ila kama...
  13. richnigga

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 12 August ni siku ya Vijana ya kimataifa...kijana wa kitanzania una ujumbe gani kwa umma.....!

    Ujumbe; "Hakuna maisha bora kwa kijana asiyejituma, Maisha bora hayana maana kwa kijana asiyejitunza"
  14. richnigga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba jina la mtoto wa kiume linaloanza na C

    Chaburuma
  15. richnigga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba jina la mtoto wa kiume linaloanza na C

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom