Leo tarehe 12 August ni siku ya Vijana ya kimataifa...kijana wa kitanzania una ujumbe gani kwa umma.....!

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
DkRNGX3U0AEcbpS.jpg
 
Mazingira salama? Ooh no way... Not in this life
Jiamini na kuyajenga maisha salama kuanzia ngazi ya familia na hatimaye taifa zima kwa ujumla.....vijana wanatakiwa kujituma
 
UJUMBE WANGU KWA VIJANA:
SIDHANI KAMA KUNA SABABU YOYOTE YA KUKUFANYAUKATE TAMAA WAKATI KUNA WATU WANAMAFANIKIO MAKUBWA KATIKA SHUGHULI INAYOFANANA NA HIYO UNAYOIPIGANIA SASA.
 
UJUMBE WANGU KWA VIJANA:
SIDHANI KAMA KUNA SABABU YOYOTE YA KUKUFANYAUKATE TAMAA WAKATI KUNA WATU WANAMAFANIKIO MAKUBWA KATIKA SHUGHULI INAYOFANANA NA HIYO UNAYOIPIGANIA SASA.
ujumbe mzuri ni kweli kabisa
 
Nani anayepanga hizi Siku, au ni naye anayepashwa kusherekea. Mbona sisi wadau hatujui, yaaani unasitukia tu unaambiwa Leo in Siku ya vijana.
 
Nani anayepanga hizi Siku, au ni naye anayepashwa kusherekea. Mbona sisi wadau hatujui, yaaani unasitukia tu unaambiwa Leo in Siku ya vijana.
jiongeze kidogo ktk kupata taarifa utayajua tu haya mambo
 
" Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? kwa utii akilifuta neno lako" Zaburi 119:9

Nje ya hapo ni ubatili na kujilisha upepo. Ndani ya neno La Mungu kuna hekima na maarifa ya Kiwango cha juu mno ya kukufanya raia mwema mwenye maono, uimara wa kichwa na faida kwenye jamii ya Ulimwengu huu wa mpito na ule ujao (zawadi kwa watii)
 
Mkuu za kuamka, leo tunategemea nondo mpya toka kwako.
Mkuu kila wakati uko Active, hivi una mda wa kulala kweli ?
asante kaka, ngoja niende ibadani kwanza nikaungane na waamini wengine kumsifu na kumwabudu MUNGU mkuu..
Neno la Mungu linasema wakusanyikapo wawili au watatu nami nimo kati yao
 
Back
Top Bottom