Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 691
- 1,380
Je Mungu ni mwizi,
kwani si
alimtia
Adamu usingizini
Kisha akamwimbia
Ubavu wake
Mmoja?
kwani si
alimtia
Adamu usingizini
Kisha akamwimbia
Ubavu wake
Mmoja?
kuuliza sio dhambi nawala sio sababu yakunipeleka motoniWewe hauogopi kuchomwa moto ?
Hautakiwi kuhoji unakufurukuuliza sio dhambi nawala sio sababu yakunipeleka motoni
Dah ila wayahudi bana. Na mudi naye alivyokuwa bwege akaingia mzimamzima ku copy, format na kupaste.Je Mungu ni mwizi,
kwani si
alimtia
Adamu usingizini
Kisha akamwimbia
Ubavu wake
Mmoja?
mkuu kufuru ni nin?Hautakiwi kuhoji unakufuru
Mungu hayupo, hizo ni stories za watu tu.Je Mungu ni mwizi,
kwani si
alimtia
Adamu usingizini
Kisha akamwimbia
Ubavu wake
Mmoja?
tunaelimishana tu maana swali hili niliulizwa nilipomshawishi mtu amuamin MunguIkiwa hivyo ashitakiwe?
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo kweli na hizi habari za Mungu si hadithi za watu tu?tunaelimishana tu maana swali hili niliulizwa nilipomshawishi mtu amuamin Mungu
inafikirishaKama alimuumba Adam toka mavumbini, kwanini ashindwe kuunda ubavu toka kwenye mavumbi ?
Ila kumtetea Mungu kazi sana [emoji16]