Recent content by Richmak

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nini kimepelekea gari za nissan Y62 isifanye vizuri kama nissani y61 na y60

    Hii gari imetoka ya Petrol tu. Hili nalo kikwazo
  2. R

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu dhamana za fedha(financial securities)

    Kupitia mawakala dhamana na karibia mabenki yote hutoa huduma hii. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu dhamana za fedha(financial securities)

    Thanks mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu dhamana za fedha(financial securities)

    Sasa mkuu kama uchumi utaporomoka? Nini madhara ya uwekezaji kwenye dhamana serikali za muda mrefu mfano bond ya miaka 20? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    I can feel you. I did half and it was like hell. Congrats. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    JamiiForums Tanzania Masha: Mimi ni Mkurugenzi wa Fastjet kwa miaka 5 sasa lakini pia namiliki 68% ya hisa za shirika kwa sasa!

    Masha amekuwa mkurugenzi wa FastJet kwa takribani miaka mitano. Unataka uzoefu upi? No research no right to say
  7. R

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Mzunguko mkubwa sana! Kurudishiwa pesa, makato mengi.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi madereva wa Uber wanavyoibia wateja kupitia kuchakachua navigation map.

    Duh nishaumizwa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. R

    JamiiForums Tanzania Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Watu mna maneno, I can't stop laughing[emoji13] [emoji13]
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais hapa umeteleza kuhusu urefu wa bomba

    Hili letu ni longest heated pipeline. Yuko sahihi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Dr Slaa hakika naona umbali umeanza kuchukua nafasi yake (distance taking its toll). Pamoja na falsafa uliyotumia bado unaonekana uko mbali na uhalisia, makusudi au kwasababu za kutokuwepo kwa muda mrefu. Blaming the victims? Hukusikia kauli kali kutoka juu kuwa hataki kujaribiwa? We miss the...
  12. R

    JamiiForums Tanzania NSSF: Vigogo 12 waachishwa kazi kwa tuhuma za ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi

    Sawa kuna changamoto na hasa katika sekta ya umma. Kuna machapisho mengi tu kwenye hili suala. lakini kwenye hili la NSSF, hakuna hoja ya mgongano wa maslahi kwa bodi kutoa maamuzi baada ya uchunguzi huru. Uteuzi wa katibu wa bodi iliyopita ushatenguliwa, waliokuwa kwenye uchunguzi ni senior...
  13. R

    JamiiForums Tanzania NSSF: Vigogo 12 waachishwa kazi kwa tuhuma za ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi

    Uhuru wa mawazo sio uhuru wa kupotosha. Haya mambo yapo kisheria. Kasome vizuri wajibu wa bodi ya wakurugenzi. Nakutakia siku njema Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom