Recent content by Richgal

  1. R

    JamiiForums Tanzania Sekondari iliyotoa viongozi na watu mashuhuri wengi Tanzania

    Between 1959 and 1963, Kikwete went to Karatu Primary School in Tanzania before continuing with middle school education at Tengeru School from 1962 to 1965.[1] After Tengeru, Kikwete moved to Kibaha Secondary School for his O-levels, which took place between 1966 and 1969 and he remained at this...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mikoba ya wanawake inaweza kurahisisha usaliti katika mahusiano?

    Kanga au mtandio ni muhimu sana pia pad na underwear ya ziada, huwezi kumlinganisha mwanamke na mwanaume kwenye mambo hayo, mwanaume anaweza toka tu alivyo na akalala huko. si kwamba vile hawabebi pochi ndo hawasaliti. na wanawake kubeba pochi ni kwa dharura, inaweza kukupata wewe au mwenzako...
  3. R

    JamiiForums Tanzania mi si mcheshi nitapata mpenzi kweli?

    Soma mtoto mzuri, ukimaliza ndo utafute mchumba.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Haya sasa nshaharibu, nyumba imekua ndogo sijui niifiche uso wangu wapi....????

    Huna lolote, your only sorry you got caught.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana nidhamu?

    We hukumuona kabla ujamuoa kwamba hajui kubembeleza? mbona ulimuoa hivyo hivyo? kila mtu ana mazuri na kasoro kidogo pia. so mrekebishe kwa upendo na utaratibu. ataelewa tu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anacheat nifanyeje?

    Mh, azidishe mapenzi kwa anayemcheat? au ni kwa kujifanya? coz tayari roho unauma, hayo mapenzi yanazidishwaje knowing mtu anakudanganya na hakuheshimu? si ndo atakuona mjinga kabisa?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Anaweza kuwa Mtoto wako

    Idadi ya watoto kwenye FB ni kubwa, na kwa wenye watoto ninashauri wawe wanalimit watoto wao kwenye huo mtandao. coz kule hakuna mipaka, watoto wasio jua kuchambua jema na baya wanaharibikiwa, huyo akifika 15 itakuwaje?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mwanangu anateseka na ngozi

    Mpake Aloe vera gel. kuna za special, forever living product or house of health or GNLD, au tafuta kabisa natural shubiri, hiyo ninzuri zaidi. it works magic.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kwa huyu mchumba wangu

    Kama ni mwanafunzi anaweza kuwa anapata shinikizo sana toka kwa marafiki. Wasichana huwa wanapenda sana kuzungumzia wapenzi wao especially mambo private, sasa lazima anapata pressure vile yeye hajui yanafananaje. Ni vizuri kuwa na msimamo kama wako but yeye je? ana imani kiasi hicho? be...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    There are men who have no hearts.ni wabinafsi na hawajali mtu mwingine yeyote. Naelewa sana story yako coz iliwahi kunikuta not so long ago. nililia sana na kuona kama Mungu ananiadhibu, bt all the time nilikua nasali sana, na Mungu alisikia, sasa nimepata anayenijali, na nina raha sana. yule...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kinachowaponza Wanawake wengi na kuumizwa mioyo yao ni kitu inaitwa HURUMA!

    Very true, mtu akikupiga chini usimkubali tena, wala usimpe hata nafasi ya kukushawishi. coz atakufanya shamba la bibi, azunguke hukooo, then arudi? Hamna huruma hapo.
  12. R

    JamiiForums Tanzania I'm glad I'm Kenyan, lakini...

    Hujawasingizia hata kidogo. lakini kila nchi ina tabia zake. That's what makes them different from other countries. I love Kenyans anyways, they make me laugh/happy.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Comments zako humu ndani ndizo zimesababisha nikumwage!!!!!

    We unachekesha kweli, si umemkuta anapenda kucomment? na ndo maana ukamfahamu? kubaliana na alivyo tu kama kweli unampenda.
Back
Top Bottom