mi si mcheshi nitapata mpenzi kweli?

mi si mcheshi nitapata mpenzi kweli?

habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka23 nipo muhimbili nachukua degree ya udaktari mwaka wa kwanza, naombeni ushauri kwa hili, mimi siyo mcheshi na pia nakosaga stori za kupiga napokuwa na wanawake especially naowapenda, kwa mtindo huu ntapata wa kunipenda kweli?

vuta bangi
 
Tatizo sio wewe ndugu yangu, Tatizo masomo yako uliyosoma tangu sekondary yanakufanya uwe hivyo kwani nyie mnakuwaga mabukuworm kinoma. Usihofu kuna uwezekano ukajao house girl wa ndugu yako kama hutaopoa baa made maana mna historia za kushinda baa baada ya kumaliza masomo. Take care.
vuta bangi na kunywa gongo utakuwa mcheshi na matusi
 
Hahahahahahaha
Kaunga umeua kabisa!
Pengine tuwe tunajiuliza ni kweli amecheka kwa sababu nimemfanya afurahi au ameniona kituko kuongea utumbo!
Maana sidhani kama reason pekee ya kumpata msichana ni ucheshi!

Mbona kuna wasichana wengi wanapenda wanaume walio serious?

Ila huyu ndugu yangu hapo muhimbili ana teseka sana kama sijakosea hii ni mada yake ya pili hapa akilalamika.

You think so???
Sometimes we laugh at your silly jokes just to be nice tu!
 
Last edited by a moderator:
Kuwa ww bac utapata tu....ingawa yo too yung.Angalia ucje ukamwagiwa shombo mipaka ya hotel ikakudandia.
 
Hahahahahaaaaaa... We mcheshi bana, maana hata hii thread yako imenichekesha...

Anyway, fanya hivi... ingia kule jukwaa la jokes, then kremu huko posts zinazochekesha. Kila ukiwa na wadada utakuwa unazihadisia...
Mara ukute huyo dada anayehadithiwa ni mwana JF na keshazisoma hizo jokes!
 
Mkuu i had the same problem those days...i tried to pretend life but it didnt work...later on i realized that i have got no confidence.

what u have to do jiamini,usipange maneno ya kuonge na girls wewe lopoka tu taratibu utajua jinsi ya ku-interact na hizi sketi.

Knowing your weakness is a half-solution to your ploblem..wish u all lucky!
 
habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka23 nipo muhimbili nachukua degree ya udaktari mwaka wa kwanza, naombeni ushauri kwa hili, mimi siyo mcheshi na pia nakosaga stori za kupiga napokuwa na wanawake especially naowapenda, kwa mtindo huu ntapata wa kunipenda kweli?
Hata mimi hii kitu ilinitesa sana.tatizo ni kwamba hajatokea wakumpenda akitokea vitu vinateleza vyenyewe shaaaaah!!,,Jaribu jaribu na other stimulants lyk ..Beer,Konyagi,Wine huwa vinasaidia.
 
habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka23 nipo muhimbili nachukua degree ya udaktari mwaka wa kwanza, naombeni ushauri kwa hili, mimi siyo mcheshi na pia nakosaga stori za kupiga napokuwa na wanawake especially naowapenda, kwa mtindo huu ntapata wa kunipenda kweli?

mmmh sasa utaifanyaje kazi ya kidaktari ukiwa na uso wa mbuzi best? wagonjwa si watakuwa wanakufa au hawaponi kabisa duuu..
hope umesoma psychopathology hapo chuo, ukifatilia vizuri ktk topic ya personality disorders utajijua wewe una shida gani, hiyo itakurahisishia kubadilika na kupata mwanamke atakaeendana na wewe. uwe na amani, jitahidi kusocialize na watu tofauti tofauti, jichanganye na jifahamu vizuri. itakusaidia kupata ubavu wako.
 
kaka thanx sana, ushauri wako ntautilia maanani, bt tatizo hili unitokea zaidi napokuwa karibu na msichana naemfil, kwa wagonjwa cdhani kama itaweza tokea,
 
Hivyo hivyo utawapata kijana mi nimewapata sana kisa eti wananiona mpole, we kaka mpole nimekupenda kumbe nimeamua tu kuuchuna.

Hahahaa kuuuchuna au domi gundi hahahaha maaana hivyo ni vitu viwili tofauti...daaah mim ni anti social balaaa
 
kaka thanx sana, ushauri wako ntautilia maanani, bt tatizo hili unitokea zaidi napokuwa karibu na msichana naemfil, kwa wagonjwa cdhani kama itaweza tokea,

hapo kwenye red mi ni dada. inawezekana hujiamini, hasa ukimuona mtu unaempenda unakosa pozi. ebu jaribu kujievaluate ni kitu gani hasa kinachokufanya ushindwe kuongea ukiwa na unaemfeel. je ni woga,? kutojiamini? au unajichukuliaje we mwenyewe kiujumla?
 
inajitokeza tu yenyewe, moyo hudunda sana, na mdomo hukauka, nabaki kumtazama tu, cha ajabu binti akinitamkia ananipenda, hapa bomba nakuwa free nae hadi raha, xo hii hutokea napomtafta kabla hajakubali.
 
oooh nimekuelewa sasa. so ikiwa unataka kuexpress feelings zako ndo huwa unapata anxiety but ikitiki unakuwa poa kabisa, si ndio? kama ndo ivo basi mke utapata tu uwe na amani
 
Hata mie sio mcheshi lakini mungu alivyo wa ajabu kanipa mke nae sio mcheshi. Imagine tuko kwenye gari letu tunaenda ofisini asubuhi halafu tukampa mtu lifti, basi ni redio tu ndio itazungumza.
 
Back
Top Bottom