Recent content by Richardtemu

  1. Richardtemu

    Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

    Nafikiri tusibweteke, kuna haja ya kuuchambua huu mfumo anaouelezea hapa na madhara yake katika upatikanaji wa habari huru za bunge.....hasa kwenye kulionyesha live....ila nguvu ya umma ni muhimu. May be wananchi tukipiga kelele pia kuhusu kufutwa kwa POAC wanaweza wakairudisha
  2. Richardtemu

    Kwa hili la simu, Anne Makinda ameonewa..!

    Ndugu yangu Mjengwa, naona umejitahidi sana kutokuwa mnazi katika maoni yako. Ila mimi sikubaliani kabisa na wewe. Unamtetea Makinda kama mwanamke au kama Kiongozi? Mbona suala la Ndugai halichukuliwi kama ni tatizo, na kuna watu wanasema Ndugai alikuwa anajibu msg zao. Kwanini unataka kuwafanya...
  3. Richardtemu

    Mbunge wa Morogoro mjini Aziz Abood ni mfano wa kuigwa!

    Hatuhitaji misaada ya namna hii! Kazi yake ni kuisimamia serikali kutoa huduma na sio yeye kutoa huduma. Misaada kama hii inatumbumbaza sana. Sipendi. Kwani hawezi kutoa huduma mpaka awe mbunge? Hakuna kitu cha bure, tunadanganywa na vimisaada vidogo wao wanapiga hela kubwa uchumi unazidi kudidimia
  4. Richardtemu

    The World's Happiest Countries

    But can you relate with the rate of suicide? am sure in Norway, suicide is higher than Tanzania, and am asking myself, why should i commit suicide if am happy:becky::majani7:
  5. Richardtemu

    CHADEMA yasafisha tuhuma za Nape kupitia Channel ten - Kisha wamburuta Kwa Msajili

    Asubuh hii kwenye chanel ten, Nape amehojiwa akitakiwa kuthibitisha madai yake juu ya chadema kuchangiwa fedha namataifa ya nje. Katika maeleo yake amegoma kutaja watu wanaoichangia Chadema na kiasi cha pesa. Ila amesema kuwa alikuwa anawatahadharisha kuwa hela hela hio sio nzuri kwa maendeleo...
  6. Richardtemu

    Mnyika Akalia Kuti Kavu

    Tatizo hata akithibitisha hatutajulishwa! Taarifa zote wabunge wanazoambiwa wathibitishe hazijawahi kutufikia wala kuambiwa kathibitishaje
  7. Richardtemu

    Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

    Duh kweli hii serikali imekosa kazi. Badala ya waziri kushughulikia mambo ya msingi anatumia resources zetu kupatanisha washkaji waliodhulumiana.
Back
Top Bottom