Recent content by Richard Mlangi

  1. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    nadhani mmepata fursa nyingine ya kumjua zito
  2. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Hapo hata KiM Sung wa Korea hafiki
  3. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuwe Wamoja 2015 kwa Maslahi ya Taifa

    Mkuu, Umesema vyema. Japo wenye sifa wengi km Magufuli bado wapo kimya.
  4. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Majina ya wagombea wa nafasi za uongozi Taifa ACT- Tanzania

    Zitto ni mzigo mzigo !
  5. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuwe Wamoja 2015 kwa Maslahi ya Taifa

    Tuna majukumu mengi ya msingi sana yanayotuhusu km watanzania 2015. Kwa ujumla 2015 ni fursa tuliyopewa na Mwenye Enzi ! A. Tuwe na msimamo mmoja kuhusu Urais. Tumuunge mkono Rais ambaye ana CV nzuri ya vitendo na kazi zinazoonekana na sio maneno. Tumkatae Rais wa kupangiwa na mtu au kiongozi...
  6. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

    Ukikosa uongozi wakati huu wa JK, hauji kuwa kiongozi maisha yako yote!!! Juliana Shonza
  7. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Ukikosa uongozi wakati huu wa JK, hauji kuwa kiongozi maisha yako yote!!! Juliana Shonza
  8. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 za kuifanya CCM iendelee kutawala milele na ACT kuwa chama kikuu cha Upinzani Tanzania

    Mkuu mtoa mada, umefanya vizuri kuweka wazi na bayana kuwa ACT ni kibaraka wa CCM !
  9. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

    Sijaangalia vizuri Juliana Shonza hayumo???, maana alisema naye atakumbukwa kwa mchango wake wa kutukana watu
  10. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani: Kesi ya Kadawi Limbui dhidi ya Samson Mwigamba

    Kina Lizaboni na wenzake wa buku7 watakuja muda sio mrefu maana act ni kitengo cha ccm kuua upinzani. Zitto ni mzigo mzito !
  11. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania CCM jibuni maswali ya Polepole ili tuikubali katiba yenu ya mwizi Chenge

    Nani apigie kura ya ndio katiba ya chenge inayohalalisha ufisadi wa kuficha fedha nje ya nchi ?
  12. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania CCM jibuni maswali ya Polepole ili tuikubali katiba yenu ya mwizi Chenge

    Nani apigie kura ya ndio katiba ya chenge inayohalalisha ufisadi wa kuficha fedha nje ya nchi.
  13. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    Utakosa buku 7. Shauri yako !
  14. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Arusha- Baada ya kuzomewa Kinana wafanyabiashara waondolewe

    Nchi inapokosa Uongozi
  15. Richard Mlangi

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa ACT mmeanza kuomba michango mapema mno, kwa mtindo huu watu watasita

    Hapo inaonekana ni vurugu tupu kwenye hicho chama
Back
Top Bottom