Recent content by Richard Mallya

  1. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yamejificha nyuma ya uhakiki usiomalizika?

    Serikali yetu bado kabisa tunashindwa kwenda na kasi ya ambayo ipo kwenye ulimwengu wa sasa tumebaki na maneno tu nitafanya ivi nitafanya vile
  2. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania Trafiki Dar wakusanya tsh 410m kwa siku 4

    Mmmh!! Na kila siku wakikusanya watangaze tumepeta kiasi fulni hata km ni kidogo
  3. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania PICHA: Zamani zamani kidogo katika picha

    Dah iseee vyote nimetumia nilikuwa atari Hapo kwenye DH .... Dingi hana huwezo ...hahahaahahahaha
  4. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania List ya mabinti wazuri watoto wa marais Afrika

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] da huwa atukosi dic
  5. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania Haya ndo niliyoyaona Mtwara katika ziara yangu

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] kanisa linaingiza watu 800 sadaka 20elfu hichi ni kituko Mitaa kupewa majina ya viongo vya binadamu eti likifua [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  6. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania Mjue Mtoboaji macho, Salum Njwete (Scorpion) na watu wake

    Ngoja tusubirie maamuzi ya mahakama
  7. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya leo yamekosa habari?

    Ndo habari ipo hot
  8. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Wazo nzuri sana ila kazi ipo apo kwenye kushirikiana inabidi kumtafuta mtu ulie nae karibu na ufahamu tabia zake kwa undani nae awe nakupata kwa ndani
  9. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania Diamond kuuza Instagram Account yake kwa shilingi bilioni NNE za Tanzania

    Hahahahaha na ninauza yngu buku kumi
  10. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania Nanyimwa haki ya ndoa kisa simfikishi kileleni

    Pole sana apo kweli lazima utafute suluhisho mapema sana
  11. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania TTCL fursa itakayowapa faida ni kwenye huduma ya Data

    Tatizo hili la TTCL bado upigaji unawatesa na siyo wabunifu
  12. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania Wanawake ambao hawajaolewa: Kukaa bila mume kuna madhara yoyote?

    Kwenye hilo sidhani kama kuna uzoefu zaidi ya ukiwa tu
  13. Richard Mallya

    JamiiForums Tanzania Road Safety: Stika za Nenda kwa Usalama ni wizi, tuungane kuupinga

    Hiyo ni rushwa kabisa Takukuru mpo wapi ??
Back
Top Bottom