Trafiki Dar wakusanya tsh 410m kwa siku 4

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,714
Wakuu,

Polisi Kanda Maalum ya Dar kupitia kitengo cha usalama barabarani wamekusanya jumla ya shilingi milioni 410 kwa muda wa siku nne, ina maana kwa siku walikuwa wanakusanya walau milioni 100 kuanzia Oktoba 14 -Oktoba 18. Jumla ya magari yaliyokamatwa kwa makosa ni 10,525.

Kamanda wa usalama barabarani ameshauri madereva wafuate sheria za barabarani, kuna stika kataja ila sijazinyaka vizuri, kila gari liwe nayo. Pia na vingine vinavyohitajika kwenye gari ili liwe kamilifu.
-----
Hiki ni kiasi kikubwa sana, kumbe wakiendelea hivi basi kwa miezi miwili wanafunzi waliokosa mikopo wana uwezo wa kupata wote wakanunulie TV na pombe (hii nimechomekea)
 
Hapo inaonyesha
Kipindi cha nyuma
Tulipoteza kiasi kikubwa cha pesa

NB:hata mahakamani kuna faini baada ya kutenda kosa,
Hawa kawii wale wanaoishi kwa matukio kuja kutafuta kick kisiasa
 
Kuna kipindi some time back niliwahi kutoa hoja ya ' Trafic police wafungiwe mashine za efd', nilipuuzwa na kuaibishwa sana, ila ilikuwa feasible sana
 
Wakuu,

Polisi Kanda Maalum ya Dar kupitia kitengo cha usalama barabarani wamekusanya jumla ya shilingi milioni 410 kwa muda wa siku nne, ina maana kwa siku walikuwa wanakusanya walau milioni 100 kuanzia Oktoba 14 -Oktoba 18. Jumla ya magari yaliyokamatwa kwa makosa ni 10,525.

Kamanda wa usalama barabarani ameshauri madereva wafuate sheria za barabarani, kuna stika kataja ila sijazinyaka vizuri, kila gari liwe nayo. Pia na vingine vinavyohitajika kwenye gari ili liwe kamilifu.
-----
Hiki ni kiasi kikubwa sana, kumbe wakiendelea hivi basi kwa miezi miwili wanafunzi waliokosa mikopo wana uwezo wa kupata wote wakanunulie TV na pombe (hii nimechomekea)

Hapo nyuma maana yake zilikuwa zinaishia mikononi mwa watu
 
Sasa hizo pesa zote wanazokusanya zinaenda wapi?mbino kila kitu kimesimama?
 
Wakuu,

Polisi Kanda Maalum ya Dar kupitia kitengo cha usalama barabarani wamekusanya jumla ya shilingi milioni 410 kwa muda wa siku nne, ina maana kwa siku walikuwa wanakusanya walau milioni 100 kuanzia Oktoba 14 -Oktoba 18. Jumla ya magari yaliyokamatwa kwa makosa ni 10,525.

Kamanda wa usalama barabarani ameshauri madereva wafuate sheria za barabarani, kuna stika kataja ila sijazinyaka vizuri, kila gari liwe nayo. Pia na vingine vinavyohitajika kwenye gari ili liwe kamilifu.
-----
Hiki ni kiasi kikubwa sana, kumbe wakiendelea hivi basi kwa miezi miwili wanafunzi waliokosa mikopo wana uwezo wa kupata wote wakanunulie TV na pombe (hii nimechomekea)
Mmmh!! Na kila siku wakikusanya watangaze tumepeta kiasi fulni hata km ni kidogo
 
Wakuu,

Polisi Kanda Maalum ya Dar kupitia kitengo cha usalama barabarani wamekusanya jumla ya shilingi milioni 410 kwa muda wa siku nne, ina maana kwa siku walikuwa wanakusanya walau milioni 100 kuanzia Oktoba 14 -Oktoba 18. Jumla ya magari yaliyokamatwa kwa makosa ni 10,525.

Kamanda wa usalama barabarani ameshauri madereva wafuate sheria za barabarani, kuna stika kataja ila sijazinyaka vizuri, kila gari liwe nayo. Pia na vingine vinavyohitajika kwenye gari ili liwe kamilifu.
-----
Hiki ni kiasi kikubwa sana, kumbe wakiendelea hivi basi kwa miezi miwili wanafunzi waliokosa mikopo wana uwezo wa kupata wote wakanunulie TV na pombe (hii nimechomekea)

ok kwako mdau hilo walihesabu kama moja ya mafanikio ? taree 2 Oct nlikuwa naenda moshi nikafanyiwa ukaguzi ndani ya sekunde 50 nikapewa sticker nikatoa elfu tano nikaondoka sasa hapa huu ukaguz hata siuelewi mtu hakagui chochote kaona gari mbele ya macho yake kakaupa sticker
 
Wakusanye mana ndo mishahara yao hiyo mana kabati halina hela..ila tabia za kubambikiana kesi za kijinga siyo sawa
 
Back
Top Bottom