Recent content by Richard Elibarick

  1. R

    JamiiForums Tanzania Private candidate

    Nataka nifanye mtihan kama pc je kuna madhara yoyete mtihan wa kidato cha 6 naomben ushaur
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wadau ninatafuta shule ya A-level mchanganyiko ya bei poa boarding

    mkuu naomba nisaidie contact plz
  3. R

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs medical laboratory

    phy-d chem-c bio-c math-d, engl-d kama cert uwe na d zote kwenye masomo hayo
  4. R

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs medical laboratory

    jaman na mim na subir majbu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je NACTE wamefunga system yao?

    Naomba kuuliza, NACTE wamefunga system yao?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa diploma Kampala University(KIU)

    Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo. Je yameisha?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule ya private advance ya bei nafuu tahasusi ya PCM au CBG

    phy-d chem-c bio-c math-c geo -d div-3
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule ya private advance ya bei nafuu tahasusi ya PCM au CBG

    nipo shinyanga -- ila shule iwe popote tz
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule ya private advance ya bei nafuu tahasusi ya PCM au CBG

    habarn wana jamvi, mimi ni mhitimu kidato cha nne 2015 nlipata div3 lakn sikubahatika kuchaguliwa kidato cha tano. Sasa naomba kwa yeyote anaye fahamu shule private advance yenye tahasusi za sayansi kama PCB, CBG yenye ada nafuu chini ya lak 9 hatakama haifanyi vzr ktk result nisaidieni, matusi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule private A-level yenye michepuo ya Sayansi

    habar wanajamvi mnaweza nisaidia shule privat alevel sayans zenye ada nafuu chni-lak9 hatakama haifany vzr katka result nisaidie kama unafaham!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    namba wasiliana nao 0745335568
  12. R

    JamiiForums Tanzania Shule private A-level kanda ya ziwa

    Jamani selection bado tu? Jaman nimechoka kusubiri, kama kuna mtu anafahamu shule private zenye ada nafuu chini ya laki 9 anishitue. Iwe ina michepuo ya Sayansi
Back
Top Bottom