R Richard Elibarick Member Apr 26, 2016 54 7 Jan 7, 2017 #1 Nataka nifanye mtihan kama pc je kuna madhara yoyete mtihan wa kidato cha 6 naomben ushaur
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 Jan 7, 2017 #2 Hamna madhara chamsingi ufanye vizuri tu wengi wamepita njia hiyo na wapo university saivi