Recent content by richaminja

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametudhalilisha Sana Watanzania

    Unaonekana unaweka ushabiki wa kikanda. Kwanini asianze kunyonga nchini kwake? 2020 majibu yatapatikana
  2. R

    JamiiForums Tanzania Masikini Manji, hii ndio Bongo!

    Sheria inasema atashikiliwa si zaid ya SAA 48. Sasa yeye alishachunguzwa na hakupaywa na hatia obviously yupo masaki anapuliza siga
  3. R

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Kamishna Sianga Ishara kuwa Makonda Kaharibu Vita

    Kama kuna muendelezo wa hii series that means mapapa wanaogopwa ndio maana wanatafuta chekecho ili chujio limalize. Kama ni vyanzo vya habari na maneno yakutajwa basi kenya wamerahisisha. Wachukue list iliyotajwa na blog ya kenya kwa hao mapapa wanne. Wapi papaa makala? Nimekumbuka miaka ya 2000...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Kamishna Sianga Ishara kuwa Makonda Kaharibu Vita

    Rizi mbona anaishi mikocheni kwa Mwl nyerere na anamkwepa kumtaja?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Safi Mwigulu hukutetereka, Makonda ajifunze kuwa sikio halizidi kichwa!

    Hajataka kusema chochote yeye kuhusishwa na hiyo biashara? Nchini Kenya kati ya watu waliotajwa kupiga biashara hiyo kwa ujazo mkubwa ni Mwigulu, riz, balozi Nchimbi na mmoja ameniponyoka
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma na kupokea pesa kutoka nje ya nchi

    Ahahaha hapo kwenye vat
  7. R

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Hawex kuitwa na rc ataitwa na Simon. Masogange anaweza kuitwa na konda na skaenda hakuna madhara. Mbowe ni sawa na katelefon kwenye siasa sio MTU mdogo ndio maana Gari anayotumia either itakua STK ama kub.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Waziri Mkuu?

    Wadau wenzangu, Leo nimeshangaa sana kutomwona PM kwenye kiti wakati anajua Jana bunge lilikua na maswali na hoja ngumu ambazo leo pengine alitakiwa kutolea ufafanuzi. Spika naye hajatoa ufafanuzi PM yupo wapi. Je ni sahihi?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Makonda afikishwe mahakamani

    Kwakua Mh Lema amefikishwa mahakamani kwa ushahidi na Makonda nae afikishwe mahakamani. Gumbo alitumia ushahidi wa simu kumfikisha Mh Lema mahakamani na mpaka sasa hajapewa dhamana. Mh Halima anasema wabunge kadhaa wametishiwa kwakupigiwa simu na makonda. Watumie voice note hizo kama ushahidi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Sio pesa tyu habari yenyewe imekaa kimtego mtego sana. Nimependa Mtanzania walivyoandika
  11. R

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Bunge laazimia kuwa RC Dar na DC Arumeru waitwe mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka

    Naona atakavyopiga magoti akitokwa chozi. Kama aliweza kumtandika na kiti babu yake na akajificha kwa mlemavu hii atamwendendea baba jeaca ampigie kifua kwa betina
  12. R

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Bunge laazimia kuwa RC Dar na DC Arumeru waitwe mbele ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka

    Gambo naye aitwe apewe miongozo ya kufanya kazi kama VP nae atemeshwe
  13. R

    JamiiForums Tanzania Pembe za ndovu v/s drugs kipi chenye faida kwa serikari?

    Wadau naombeni mnipe walau mawazo yenu kwenye hili. Tembo wanaouwawa na meno mengi uamepatikana nchini china yakitokea hapa kwetu tz. Kipi haswa kina faida kwa wananchi wengi dhidi ya hawa wanaoitwa wauzaji wa dawa za kukevya na hawa wanaoua tembo na kuuza pembe.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Arumeru aamuru kukamatwa kwa waandishi

    Wananchi wanashindwa kujiorganise wamkatae? Weka mgomo wa kufanya nae kazi atatia akili.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

    Mange anakua mbaya akitoa habari zakuiumiza fisiem lakini akitoa za cdm mishiopa huwa inawasimama utadhan wanywaji wa chang'aa. Mange wape zaidi maana hata nyuzi za makongo, Dubai na USA wengine hatukua tunazijua.
Back
Top Bottom