Yuko wapi Waziri Mkuu?

richaminja

Member
Dec 31, 2016
90
41
Wadau wenzangu,

Leo nimeshangaa sana kutomwona PM kwenye kiti wakati anajua Jana bunge lilikua na maswali na hoja ngumu ambazo leo pengine alitakiwa kutolea ufafanuzi. Spika naye hajatoa ufafanuzi PM yupo wapi. Je ni sahihi?
 
Back
Top Bottom