richaminja
Member
- Dec 31, 2016
- 90
- 41
Kwakua Mh Lema amefikishwa mahakamani kwa ushahidi na Makonda nae afikishwe mahakamani. Gumbo alitumia ushahidi wa simu kumfikisha Mh Lema mahakamani na mpaka sasa hajapewa dhamana. Mh Halima anasema wabunge kadhaa wametishiwa kwakupigiwa simu na makonda. Watumie voice note hizo kama ushahidi kumweka rumande.