Mkuu wa Wilaya ya Arumeru aamuru kukamatwa kwa waandishi

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru aamuru kukamatwa kwa waandishi

Dc mnyeti Alexander mbona unafanya mambo ya kitoto,huna namna nyingine ya kudeal na waandish? Umerudia tena kukamata waandish? Waandish arusha mkomae nae huyu n mhun namna bora ya kudeal nae n kihun pia,waalimu wenzake igokelo sekondari walimtia adabu alichezea kichapo Akawa mpole,mkilegea atawasotesha mbaya,
Wananchi wanashindwa kujiorganise wamkatae? Weka mgomo wa kufanya nae kazi atatia akili.
 
KUANDIKA HABARI NI KOSA KUBWA HASA ZA NJAA ! NANUSA KUPATWA KWA JUA.
 
Ni wakati wa wapumbavu kudhihirisha mpumbavu wao.
 
Back
Top Bottom