Recent content by rich1

  1. rich1

    JamiiForums Tanzania Azam Pesa mteja ukikosea muamala wanachukua muda mrefu kukurejeshea fedha

    Ndugu acha tuuu,,,,n shida
  2. rich1

    JamiiForums Tanzania Azam Pesa mteja ukikosea muamala wanachukua muda mrefu kukurejeshea fedha

    Kumekuwa na changamoto kubwa upande wa Azam Pesa pale mteja anapokosea muamala. Wanachukua muda mrefu sana kurejesha fedha. Ukiwapigia simu, unaweza kuambiwa: Leo ni weekend, hatufanyi kazi. Wametoka, wameenda kuswali.
  3. rich1

    JamiiForums Tanzania Mdada akiwa anakuangalia sana huku anajichekesha anamaanisha nini?

    Poch linatafutwa apo😂😂😂
  4. rich1

    JamiiForums Tanzania Tuhuma alizotoa Heche kuhusu ufisadi kwenye Uagizaji wa Mafuta ni nzito sana, nashangaa mpaka saa Serikali haijasema lolote

    Achana na buku buku za tone tone.....jadil billion elfu moja zilizoliwa na wajanja.😊😊😊
  5. rich1

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama Vya Siasa Aingilie Kati na Kumsimamisha Uongozi John Heche Ili kuepusha Vurugu zinazoweza kutokea

    CCM inapenda watu wajinga wajinga na wasio jitambua.🫤🫤🫤🫤
  6. rich1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wanaojiita wanaharakati lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi

    Tupe majibu nan walioua watu 29 mwez wa kumi......
  7. rich1

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Nitaweka wazi majina ya wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA waliopewa pesa kulazimisha Maridhiano na kumshambulia Heche

    Nasikia ma Rpc wamekula pesa kwenye saba saba kwel????
  8. rich1

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

    Instagram wanatumia account ga????
  9. rich1

    JamiiForums Tanzania Nimepata mpinzani kwenye biashara yangu mbinu gani niitumie kumu-overcome

    Fanya vitu extra tofaut na hivyo mfano weka huduma ya Lipa kwa simu,,, huduma za kibank,,uwakala mkuu,,pia uza bando kwa mfumo vocha,,uza vocha jumla au reja reja na accessories ukiweza a Giza kutoka china.
  10. rich1

    JamiiForums Tanzania Walio karibu na Heche mlindeni sana

    CCM nayo Ina thaman gan????
Back
Top Bottom