KUjenga ni timing tu kama unaweza anza kidogo dogo usisubiri upate mamilion vingnevyo hutaweza kujenga anza na msingi kwanza tulia then ukipata ela unaendelea
Ebhanaa eeeh...hii issue ipo very sensitive elezea vizuri watu waelewe chanzo na kwann mmekatazwa...ila Mimi nachojua mmekatazwa kuuzia maeneo ambayo siyo rasmi..mkuu was soko anataka watu wauzie zone husika but changamoto kubwa ni kuwa wafanyabiashara ni wengi ila maeneo yaliyokuwepo pale...
Wakaz yupo sahihi ila Roma alicholenga yeye ni kufikisha ujumbe...wasanii wengi wanaoimba nyimbo za kukosoa huwa wanazngatia zaidi kufikisha ujumbe masuala ya chorus na mengne huwa ni ya ziada tuu
Ila nyie wenye baba mnapata sana faida kuliko sisi ambao hata hatukuwahi kuishi na baba zetu...kuna hayo maneno ya huyo mzee wako kiukwel yana maana kubwa sana
Nyie mliokula hela za ada alikuwa na uhakika hata kama issue itabuma mzazi wako atalipia tena mi alikuwa kabsa kula hata sh Mia kwa sababu familia yangu nilikuwa najua tabu wanazopitia adi nilipe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.