Recent content by riara

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria hili linawahusu

    Ni kweli mke ni mtu muhimu ila hawa wanawake wa kikazi hiki cha sasa wamepoteza uaminifu lazima tuishi nao kwa akili ikiwa ni pamoja na kuchukua tahadhari. kinga ni bora kuliko tiba
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria hili linawahusu

    Nina assets ambazo nimepata nikiwa sijaoa (single) kama ifuatavyo Nyumba , mashamba , Mifugo pamoja na duka la pembejeo Ninachoitaji (a) Namna ya kumiliki assets hizi kisheria ili nitakapooa mwanamke wangu asiwe na haki katika assets hizi mpaka nitakapoamua mwenyewe aidha kumilikisha familia...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake stress nyingine tunazitafuta

    sky nakuelewa sana mdogo wangu!! wanawake wote wangekuwa na fikra yakinifu kama wewe death rate kwa wanaume ingepungua.
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Rafiki ambaye nimemwona anafaa kwangu

    Tafuta kazi ufanye vinginevyo utaangaika sana!!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mzazi kuaanza kukutegemea wewe kwa kila kitu bila kujali mshahara wako mdogo

    mzazi anapaswa kumpa mtoto wake mahitji yote muhimu ikiwa ni pamoja na elimu pia mzazi anapaswa kuweka akiba kwa ajili ya uzeeni. Suala la kumhudumia mzazi kwa Kila kitu baada ya kijana kupata kazi ni chanzo cha UMASKINI wa kudumu kwa kijana. Baada ya kijana kupata kazi kijana anatakiwa...
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafanyaje mume mpole hadi kitandani

    Zungumza nae Kile unataka sometime ni ushamba unamsumbua
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nadhulumiwa na mjomba bila sababu?

    Mjomba wako yuko sahihi hapo sio kwenu wala huna haki yoyote hapo cha kufanya katafute haki kwenu kwa baba yako. kama ulizaliwa nyumbani kwao mama yako huna jinsi mlaumu mama yako Kisha upambane na hali yako.
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Wanaume: Hakuna Mwanamke mwenye Bwawa, ni wewe umemharibu!

    Mtoa mada unaongea sana!
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, tunawatendea haki dada zetu hawa ambao ni single mothers?

    Kuoa single mother ni uzembe! na kuwa single mom ni laana!!
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Kuoa single mother ni uzembe wa hali ya juu.
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu kanambia amesomeshwa na wazazi mapato yake atayaelekeza kwao, mimi nihudumie familia...

    Juzi kati nilikuwa na Dada moja kwa lengo la kupanga utaratibu wa marriage and total packages wakati wa mazungumzo akatoa hoja kwamba alisomeshwa na wazazi wake hivyo mapato yake ataelekeza kwao mimi nijiandae kuhudumia familia. Baada ya kusema hivo nikamuuliza maswali yafuatayo 1...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Ni pm nikuelekeze dawa!
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina rafiki ninayeweza kumwambia siri yangu yoyote

    Write your reply...Carry on
  14. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Print more money!

    Governor was supposed to obey the president's order not otherwise
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo kwa wanawake wa mjini

    so excited
Back
Top Bottom