Huyu ndiye Rafiki ambaye nimemwona anafaa kwangu

Bi khadija nipe mkoa unaoishi tafadhari natamani kukuona peke yake mbali na urafiki
 
Hahahahhahh labda kachoka wa mtaani anataka wa JF
Naomba unisaidie kumuuliza atatuweza??

Wengine hatujui kutongoza ila ntamwambia mbona gudume na daby ulimpa,,,,Mimi ni nan mpak nisipewe?
 
Shida kubwa ya wengi ni malezi mabovu,ukosefu wa elimu na pia umaskini. Kuna wadada walikuja wanasema ntawachukulia mabwana/buzi zao humu ndani....i told them i dont need mbuzi...mimi mbuzi wa nini? Sifugi hata kuku itakuwa mbuzi. Na wamekuwa na chuki flani hivi
Duh huu mji kumbe una mengi makubwa Ila kwa ujinga wangu nayapuuzia tu,kumbe yangeniongezea furaha na cku za kuwa happy

Kuanzia Leo nataka kujua yoote ,,amen
 
Back
Top Bottom