Recent content by Ri ri

  1. Ri ri

    Nimepata kazi ya mkataba ila nilikuwa na uhitaji wa kazi ya kudumu

    sijazidisha kitu ni kweli kabisa
  2. Ri ri

    Nimepata kazi ya mkataba ila nilikuwa na uhitaji wa kazi ya kudumu

    Unaacha hizo halafu unakosa na hizo unazozingoja😂, kazi zilivo za shida ivi wenzio tunatafuta hata za kufanya kwa mwezi mmoja hatuzioni😅 Shauri yako
  3. Ri ri

    Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

    Kuna dada namfahamu alikuwa ameolewa tulikuwa tunajua ana mashetani kumbe anaigiza😂😂 akiyapandisha anakua ka kichaa halafu anakimbia anapotea ata siku 2 khee kumbe alikua akipotea ivo anaenda kwa baby wake anayempenda baadaye ikaja kujulikana
  4. Ri ri

    Acheni kujichubua

    lkn kuna watu ndo rangi zao zipo ivo hawajichubui lkn uso wake unang'aa zaidi kuliko mwili au wengine uso umefubaa mwili unang'aa
  5. Ri ri

    Acheni kujichubua

    nilivokuwa chuo nishaona wakaka wawili kwa nyakati tofauti wanatumia mafuta yanayochubua
  6. Ri ri

    Nilichogundua Watanzania wengi ni watu wafupi

    urefu huu sina hamu nao kabisa nikikumbuka kijana wa kwanza kabisa kumuelewaga alikua ananiambia tatizo me ni mkubwa sana😭, nilitamanigi niwe shortie mbona😂
  7. Ri ri

    Msaada: Kuondoa utelezi maji ya mvua

    pia kwenye hewa kuna chembechembe ndogo sana za plastiki zinaitwa microplastic mvua inaponyesha zinachanganyika na maji ya mvua ndo maana hayatakiwa ktumika kunywa, zinasababisha kansa, mvurugiko wa homoni nk.
  8. Ri ri

    Naomba mbinu ya kupambana na upara

    pole mkuu zinaisha mbele tu au hadi kwenye kisogo
  9. Ri ri

    Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

    hapana kuwa na wazazi ambao hawajatengana sio dhamana kuwa na watoto wao watakuwa na successful marriages Wapo waliotoka kwenye broken homes lkn ndoa zao zimedumu na walio na wazazi ambao hawajatengana lkn ndoa zao zimeshindikana
  10. Ri ri

    Uhaba wa tendo la ndoa kwenye ndoa za Kitanzania

    sababu zipo nyingi 1 kama mume hatimizi majukumu yake 2 kama ana tabia zinazomkera mke wake mf. ulevi,nk. 3 kama ameshawahi cheat hadi mke akajua hupelekea hisia kuisha 4 kama alishawahi kumtreat mke wake vibaya kipindi akiwa na ujauzito kusahau sio rahisi 5 Uchovu pia kama mke ana shughuli nyingi
  11. Ri ri

    Nauza maembe Jumla

    yanafaa kwa juice hayo
Back
Top Bottom