Recent content by Jobless_Billionaire

  1. Jobless_Billionaire

    Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

    Kuna mwaka aliondoka akaenda kwao kutokana na mgogoro mdogo, aliporudi nilimpiga makofi ya kutosha, ila ni yale ambayo tunapenda kuyapiga tukiwaweka Doggy Soggy. Haikuchukua hata siku ngapi, ni siku ileile case ikawa solwed, maana yaliambatana na bakora barábara
  2. Jobless_Billionaire

    Nataka kuja Dar je ni sehemu gani ya kuishi ukizingatia haya mafuriko?

    Fikia UBUNGO mkuu ila uwe makini wasije WAKAKUBUNGUA
  3. Jobless_Billionaire

    Mrejesho; Miaka minne ya mateso sasa nimepona

    Nimeshangaa sana hata mimi
  4. Jobless_Billionaire

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Nipe KIMBAKA NIKIMBAKIE meno yangu..
  5. Jobless_Billionaire

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Hii chai imezidishiwa sana MAJANI
  6. Jobless_Billionaire

    Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Utofauti wake na zisizo za kisasa ni upi? Au memba mzikwaji atakawia kudecay
  7. Jobless_Billionaire

    Hii ni moja ya sababu ya mafanikio ya alonso msimu huu

    Wale wajomba hawafai hata kidogo
  8. Jobless_Billionaire

    Chakula hiki nimekipata kwa elfu 3000 tu

    Na usiombe akate propeller, hakuna lugha wataacha kusema walio jirani nae
  9. Jobless_Billionaire

    Chakula hiki nimekipata kwa elfu 3000 tu

    Watu wakae mbali na wewe Vladimir Putin. Kinachofata hapo ni milipuko tu
  10. Jobless_Billionaire

    Hii ni moja ya sababu ya mafanikio ya alonso msimu huu

    Uchambuzi tayari.. Nakubaliana na wewe, ila bila kuuzungumzia mfumo wao wa defense na pattern nzima ya timu, bado haitoshi. Jamaa hata eneo la ulinzi lina shape nzuri. Kushambulia pekee haitoshi. Wanafanya hivyo kwakuwa tayari wanajua kama watapoteza mpira wakati wa attacking watazuiaje...
  11. Jobless_Billionaire

    Mwanaume mpende mke wako

    Lamomy 🥰🥰
  12. Jobless_Billionaire

    Mwamba huyu hapa na mpenzi wake, pesa inaongea

    Kama una hela, hata ukiwa na kibamia utaonekana una PROPELLER
  13. Jobless_Billionaire

    Mwanaume mpende mke wako

    Paragraph nyiiiiiiiiiiiiiiiiiingiiiiiii ila unaeleza jambo hilohilo tu. Kwann usingeishia aya moja tu kuliko kujipinda kuweka aya nyingi za kurudia maelezo
Back
Top Bottom