Mzee Prof. Baregu kaongezea zege kwenye msimamo wangu. Jamani kwa kweli CCM wanakotupeleka siyo kabisa. Na hofu yao kumbe ni kukosa majimbo. Kudadeki. Kura ya maoni lazima nikapige tu.
Inashangaza kuona watu wanaingiza ukabila kwenye suala la hawa CDM. Kaburu alikuwaje kawapelepeleka wakigoma akaja akawaacha njia panda. Leo najua na Zito hivyo hivyo. Tuangalie mabadiliko ya nchi na si ukabila hapa. Mnakuwa wasahaulifu namna hiyo.
Tatizo la Watanzania mnajua mpira wa kwenye makaratasi kupita kiasi. Tatizo ndugu yangu itabidi nikuulize ushabiki wako ulianza lini? Kama ulianza toka enzi hizo usingeandika haya. Niambie SAF ilimchukua muda gani kuibadilisha timu?Aliingia 1986. Ninyi ni wale mashabiki wa mpira mlioanza mwaka...
Mtaala ni curriculum. Sasa curriculum can't be a written document. What is it? Na hawa Curriculum developers kazi yao ni nini, wanadevelop kitu ambacho hakiandikiki? Wanafanya nini sasa. Ndio maana nadoubt maelezo ya huyo Prof wenu. Hii ni blunder ambayo serikali inatakiwa itujibu sisi wananchi...
Huyo Prof. naye asituzingue nchi lazima iwe na mtaala. Kwa maelezo ya huyu Prof badi nashindwa kuelewa, ina maana mtaala ni kitu ambacho kiko hewani hakiwezi andikika. Sasa dira ya elimu yetu inakuwaje, mwelekeo wake ukoje, hapa sasa kama ni kitu kiko vichwani mwa watu inakuwaje kuwaje. Ebu...
Huo jamaa elimu yake ni hii ambayo serikali inakataa kuonesha mtaala. Ni hatari sana kushangilia watu ambao wanchezea elimu ya watoto wetu mpaka inakuwa kama tunawaelimisha makapi. Haki Ya Mungu Na laana iwe juu yao.
Nashukuru wenyewe sasa mmeona. wakifeli watoto wa kubebeshwa lawama ni mwalimu. Kumbe serikali imeandaa sumu kwa watoto. Halafu jitu na akili zake linakaa kusifu sumu ambazo hata mtoto wake atakuja kuzipata tu. Damn them.
Tena wa ajabu kweli. Nashangaa kuona watu wazima kama wale wanakubali mfumo ule. Ndio maana wanapitisha vitu vingine vya ajabu halafu wakiona wameboronga wanajidai kutaka suala lirudi bungeni. Aibuuuuuuuuuuuuuu kabisa.
Ndugu Nikupataje, nimekuelewa saana. Sisifii but watu waliowengi huwa wanatatizwa sana na habari nyingi zitokanazo na kanisa. Huwezi kuweka mvinyo mpya kwenye vyombo vya zamani unajua matokeo yake. Wakati wa ujio wa Papa nilikuwepo T.E.C. Dr. Slaa kwa nafasi yake ya Katibu wa T.E.C. na kashfa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.