Angalia matatizo ya kukana imani

jesse alibalio

JF-Expert Member
May 13, 2011
268
49
Wakristo wawili,John na Paul walipotea jangwani.Wakawa na njaa sana.Mara ghafula wakaona Msikiti,John akasema tujiite majina ya kiislam ili yusaidiwe.John yeye akajiita Abdulmalik lakini Paul akakataa kubadili jina.
Kuingia maeneo ya msikiti Imam akawapokea vizuri na kuwauliza majina yao.
JOHN: "Naitwa Abdulmalk".
PAUL: "Naitwa Paul". Imam akamwambia mhudumu "kamletee Paul chakula na juisi,Abdulmalk pole na swumu we utasubiri wakati wa futru jioni.Tutafuturu pamoja".

shika sana ulicho nacho,imani yako itakuponya.
 
Hakuna mwislamu atakaempa chakula mwislamu mwenzie wakati wa mwezi wa Ramadhani. Tena muda wenyewe ni mchana, NEVER.

Labda awe yu mgonjwa. Tena hata kwa wamiliki wa kiislamu wa hoteli na migahawa huwa wanafunga biashara kipindi cha mchana wakati wa mwezi mtukufu
 
Back
Top Bottom