Ipo kimya kimya kwa style ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe kuna fisi, soma vifungu 144. (e), 145. (g) 188. (a) vya ilani hiyo. Kwenye utangulizi wa ilani hiyo haitajwi wala kwenye kampeni haizungumziwi, ila in short ukiipigia kura CCM umepitisha kukamilisha utekelezaji wa Katiba Pendekezwa ya...
Napenda sana JF ingetawaliwa na mabishano kama haya kinyume na yale ya kusakamana sisi kwa sisi yasiyo na kichwa wala miguu... Yaani leo mminikuna kweli kweli...
Kimsingi hawa jamaa hawana cha kutushinda kiutajiri wa nchi, kiuchumi, kisiasa na hata kijamii.
Kiuchumi ingawa wao wako juu lakini...
Hakuna dhambi kujijuza ukweli wa mambo, muungano tunautaka sana, kazi kwa hawa wenzetu wazenji wasioutaka muungano tunawaandalia mazingira mahsusi, wajue kwamba things will never be the same, ni wao ndio watakuja kuanza kutukumbusha historia ya udugu na uhusiano wetu pale tutakapo afiki kuvunjwa...
Mama mdogo hii safi sana, najiuliza muungano ukivunjika mpaka wa Zanzibar utakua wapi? Maana hivi visiwa ni vidogo sana. Nadhani Mpaka wa Tanganyika utavizunguka visiwa vya unguja na pemba kama South africa ilivyoizunguka Lesotho.
Sent from my BlackBerry XXXx using JamiiForums
Kazi ya Zitto kisiasa nchini ni outstanding, hili litabakia kusimama milele, na ndio linanifanya nimsupport siku zote, huu upuuzi wa kilikwenda kikarudi mtaushabikia wenyewe.
Siasa za Tanzania zimechafuliwa na kundi fulani la watu wachafu mbaya zaidi wenye utendaji mbovu. Kwangu mtu atumie...
Nadhani hili ndio lililotokea tukaacha pending hadi leo suala la mpaka wetu na Malawi.
Ni wazi tunatakiwa tuendeleze vita ya kuendelea kuikomboa na kuiunganisha Afrika, wakati tukikabili changamoto zetu in peaceful coexistence.
Sent from my BlackBerry XXXX using JamiiForums
Hivi jamani naomba tu kuuliza tujuzane, kuhusu historia ya mpaka wa Tanganyika na Zanzibar incase (in worst case scenario) tunavuja huu muungano wetu na kubakiwa na Tanganyika yetu.
Je mpaka uko wapi katikati ya bahari? Pwani ya Dar es Salaam au pwani ya Zanzibar, na upi mpaka halali?
Ili tujue...
Pole sana kama umetoka kapa bado una kale kaugonjwa nilikokataja, ulitarajia niongelee watu na issues zao nitaje taje na majina majina, I won't I do not have interest to perpetuate those personal issues or discussing them.
Stop personal attacks, let's attack issues of interest to maendeleo ya...
I am not interested in focusing to discussing people's issues when it comes to our politics, we have to change this illness if we want to progress in this modern world we have to change our entire political mentality to ISSUE BASED, RESULT BASED AND DEMOCRATIC ACCOUNTABILITY, we are totally...
Mushi narudia nilichosema, tujadili sera sio watu. Zitto kazungumzia sera tupu kuhusu wizara, waziri, mikataba, leseni na mengineyo.
Alipotaja majina ya watu ni kwa kuwa alikuwa anachallenge fikra zao na athari zake katika sera. Na alichokisema Zitto kiko wazi kabisa. Hakuna persona attacks, na...
Ifikie wakati tuanze kujadili sera na kuachana na siasa za kujadilj watu, Zitto kazungumzia sera, na sisi tufnye hivyo, kama tunataka maendeleo ya nchi!
Umeshasema mwanzo kwamba ni wabunge kurudi kuomba kura tena nchi nzima, hapo gharama ziko wazi. Sidhani mtu aliyepewa madaraka ya kuwa Rais wa jamhuri ya muungano anaweza kufanya, hata ungekuwa wewe. Najua serikalo ya JK ina tatizo katika uwajibikaji lakini sidhani kama tumeishiwa hatua mbadala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.