Recent content by Revolution

  1. Revolution

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

    Kama ni hivi basi hutakaa huamini chochote, kila jambo utakaloelezwa utasema huamini kwa kuwa hamna ushahidi, ushahidi ukiletwa utakuwa unasema picha/video zinatengenezwa kiurahisi. Suluhisho; uwe unatumia app za kuverify picha/video ili kujua kama zimetengenezwa ama la.
  2. Revolution

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

    Hata mimi nimeshangaa kweli JF ya leo siyo ya zamani watu hawana na hawapati taarifa
  3. Revolution

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

    Kila kona kuna mambo ya moto...wahaya nao wapooo
  4. Revolution

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

    Sasa vyama vyote ni vya Msajili ina maana yeye ndiye baba na mlezk wa vyama. Sasa ukiwa kama baba ama mlezi unawezaje kusema watoto wangu hawa wamefika ila yule mmoja hajafika kwasababu bado anajitafuta? Kama Mlezi kwanini usimsaidie ili ajipate??
  5. Revolution

    JamiiForums Tanzania Wala bata wa JF

    Hivi kula bata ni kula na kunywa mabia tu? Haya kama ni hivyo hilo bata linaliwa kwa msuguri, temboni, tegeta, katoro, nkuhungu, R chuga, na kwingineko tu? Yaani hata kufika hapo Ngorongoro Crater, Dubai, Bahamas, na kwingineko ni shida?
  6. Revolution

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Anatumiwa CV hajibu
  7. Revolution

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

    ,
  8. Revolution

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Hili tangazo kama sio matapeli basi TCC wamekosa umakini. Cha kwanza kwenye preamble wameandika four hundred and ninety four positions kisha kwenye mabano wakaweka (20). Pili nafasi zilizotangazwa ni 30 na sio 494 kama tangazo lilivyoelekeza. Tatu nafasi zote mbili zinataka watu wenye Diploma...
  9. Revolution

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Seran ukipata michongo ya Dodoma ya kazi za Sales, Marketing, Public Realations and Promotions please let me know au share hapa. Nina mtu wangu yupo Dar na ningependa anijoin huku Dom na tiketi yake ni kama akipata mchongo huku.
  10. Revolution

    JamiiForums Tanzania Wife hapendi niwe namchungulia utupu wake

    Anayemnyoa ni nani? Kwishaaa habari yako, umepata msaidizi. Sasa ampe yeye aiangalie na kuinyoa, kuifuta na kuinyandua na kuifuta tena kisha akupe na wewe umchungulie!?
  11. Revolution

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyowahi maishani

    Naona kama kuna chai baada ya episode ya pili na kuendelea...ila sina uhakika
  12. Revolution

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

    Anakula tenda za saba saba za Serikali ni lazima aongee hivi.
Back
Top Bottom