Recent content by Revocatus James Ngoja

  1. Revocatus James Ngoja

    JamiiForums Tanzania KENYA: Taifa ambalo Wananchi ndio Mamlaka ya mwisho, si Viongozi

    KENYA: TAIFA AMBALO WANANCHI NDIO MAMLAKA YA MWISHO, SI VIONGOZI Na Revocatus James Ng'oja Mwanaharakati Katika bara la Afrika, mataifa mengi bado yanaendelea kupambana kujenga mifumo ya uwajibikaji, ushirikishwaji wa wananchi na demokrasia ya kweli. Lakini ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki...
  2. Revocatus James Ngoja

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza mfumuko wa bei ya mafuta nchini?

    NINI KIFANYIKE KUPUNGUZA MFUMUKO WA BEI YA MAFUTA NCHINI? Na ;Revocatus James Ng'oja Soma kwa utulivu huu ni Uchambuzi wa Kiuchumi, Kitakwimu na Sera Mbadala. Ndugu Watanzania,Mafuta ya petroli na dizeli ni uti wa mgongo wa uchumi wa nchi nyingi zinazoendelea kama ilivyo nchi yetu. Bei ya...
  3. Revocatus James Ngoja

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa taifa: Mapinduzi ya usafiri wa umma yanawezekana. Kwa nini mabasi ya umeme ni suluhisho bora kwa safari fupi za chini ya km 200?

    USHAURI KWA TAIFA. MAPINDUZI YA USAFIRI WA UMMA YANAWEZEKANA.KWA NINI MABASI YA UMEME NI SULUHISHO BORA KWA SAFARI FUPI ZA CHINI YA KM 200? Na: Revocatus James Ng'oja Reha – Rombo – Kilimanjaro Simu: 0764689409 Katika zama hizi za mabadiliko makubwa ya teknolojia na changamoto za...
  4. Revocatus James Ngoja

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaoogopwa: Miaka 5 Baada ya Kifo cha John Pombe Magufuli je, Taifa Linajidanganya?

    UKWELI UNAOOGOPWA: Miaka 5 Baada ya Kifo cha John Pombe Magufuli je, Taifa Linajidanganya? Sehemu ya 2 na Mwisho. Kuna ukweli ambao wengi wanauogopa,na kuna ukimya ambao umejengwa kwa makusudi. Jana nliandika Makala niliyoipa kichwa "Kati ya Ukweli na Ukimya, Miaka Mitano tangu kifo cha John...
  5. Revocatus James Ngoja

    JamiiForums Tanzania Kati ya ukweli na ukimya, miaka mitano John Pombe Joseph Magufuli

    KATI YA UKWELI NA UKIMYA,MIAKA MITANO (5) TANGU KIFO CHA John Pombe Joseph Magufuli Magufuli, umelala ndio,Na sote tunajua hautoamka tena. Lakini historia haifi pamoja na mtu bali inaishi,inauliza na inaandika. Ni kweli hatutakusahau,sio kwa sababu ulifanya mema makubwa kiasi cha kufuta kila...
  6. Revocatus James Ngoja

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi katika siku ya kuzaliwa ya CHADEMA. Kwa Viongozi, Wanachama, Wafuasi wa CHADEMA, na Watanzania wote wanaojali demokrasia

    BARUA YA WAZI KATIKA SIKU YA KUZALIWA YA CHADEMA. Kwa Viongozi, Wanachama, Wafuasi wa CHADEMA, na Watanzania wote wanaojali demokrasia, Leo, tunapoadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ninatumia fursa hii kutoa pongezi za dhati kwa chama kwa...
  7. Revocatus James Ngoja

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda An open letter to the people of Uganda ahead of their general election on 15 January, 2026

    AN OPEN LETTER TO THE PEOPLE OF UGANDA AHEAD OF THEIR GENERAL ELECTION ON 15 JANUARY, 2026 Dear brothers and sisters of Uganda, I recognize that tomorrow, Thursday 15 January, 2026, you will be going to the polls to elect a President, Members of Parliament, and Councillors who will lead you...
  8. Revocatus James Ngoja

    JamiiForums Tanzania Open letter to International Communities

    OPEN LETTER TO INTERNATIONAL COMMUNITIES. Dear good friends of our country, human rights defenders, activists and all those who have good will towards us, My names is Revocatus James Ng'oja, On behalf of human rights activists and Human rights defenders in the country,We are writing to inform...
  9. Revocatus James Ngoja

    JamiiForums Tanzania Kalipio halitoshi wawajibishwe

    Jana zilisambazwa picha za watawa wa shirika la Masista wa Africa wabenedictino huko Ndanda wakiwa wamevalia skafu za Ccm na kushika mabango ya Ccm ,pia wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa ccm na baada ya kulalamika kuhusu Hilo Kanisa Katoliki Tanzania TEC Leo limejibu kwa kupiga marufu...
  10. Revocatus James Ngoja

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    WARAKA WA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA KUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN. Mheshimiwa Rais Awali ya yote ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mheshimiwa Rais kupitia kipande hiki cha maandishi napenda kuongea na wewe mambo machache yanayolikumba taifa...
Back
Top Bottom