Unajua inabidi tukae chini kwa pamoja,tuombe kwa pamoja na kusifu kile anachofanya Rais wetu
JPM Kwani nchi ilikuwa imeoza ila kwa hiki kipindi naona tutaenda sawa
Jamani watanzania tufike mda tuwe waelewa hili swala la kurusha bunge live limekaa kisiasa zaidi kwa upande wangu mimi naona hamna haja ya kuliongelea tuliache lilivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.