Recent content by rev geo pet

  1. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Ushauri, safari ya Dar-Mwanza: Basi gani ni zuri kupanda kwa sasa?

    Panda zuberi namba 2...ni nzuri sn
  2. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Six ways men can escape poverty

    Ikiiik8i8[emoji651] [emoji651] [emoji643] [emoji643] [emoji651] [emoji643] [emoji651] [emoji643] [emoji646]
  3. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya wanafunzi elimu ya juu irejeshwe kwa tarakimu moja

    Hahahahahahahahahaha
  4. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wanapitia mazingira magumu sana

    We jamaa hacha kazi... Toka lini wabongo wakalizika na mishaala yao....we hacha kazi jiajili tu...kuna vijana wanalilia hata iyo kazi ulionayo ...nakwambia kama unaona haikutoshi hacha kazi,af ww n mtumishi haujielewi kabisa
  5. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wanapitia mazingira magumu sana

    Ndo maana nkisema hacha kazi sio lazma uwe mtumishi wa uma....unajali tumbo lako tu....hacha kazi fanya kujiajiri kama inafahaa
  6. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wanapitia mazingira magumu sana

    Hacheni kazi,mkajiajiri kwa kuna tatizo hata serikali haina shida na nyie...we kama unaona unateseka au mshahara haukitoshi hacha kazi si upo huru.... Yaan bongo bana mnajari matumbo yenu tu,hela zote ,ziwe zinaishia mikononi mweni wakati watu wa kawaida hawana dawa,umeme na maitaji...
  7. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wako katika hili.

    Soma kwanza....bado miaka miwili au mitatu umalize....utafafanya mishe zako badae...mm nlikuwa kama ww....nmemaliza chuo sshv npo huru nafanya mambo zang
  8. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Zawadi yangu kwenu katika kuazimisha siku ya wanawake

    Eeh!spend omba omba
  9. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Zawadi yangu kwenu katika kuazimisha siku ya wanawake

    Bure mbaya...
  10. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Zawadi yangu kwenu katika kuazimisha siku ya wanawake

    Na wew kapeace unaomba vocha jaman....unadhalilisha sn
  11. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Zawadi yangu kwenu katika kuazimisha siku ya wanawake

    Duuh!omba omba MPA jmf
  12. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Zawadi yangu kwenu katika kuazimisha siku ya wanawake

    Fanya kazi ww
  13. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Zawadi yangu kwenu katika kuazimisha siku ya wanawake

    Vya bure vitawauwa
  14. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake hawapendi kudate na wanaume wafupi?

    Wakuu, Naomba kujua kwanini sisi wanaume wafupi tunabaguliwa sana na wanawake hawa, mwanamke kila kitu nampatia lakini bado haliziki tuwape nini nyie wanawake jamani, wanawake naombeni ushauri mpaka sasahivi nimeachwa na wanawake watano.
  15. rev geo pet

    JamiiForums Tanzania Nimetongoza mabinti wengi sana lakini walinikataa

    Daaah!asante sn mkuu,umeongea point sana
Back
Top Bottom