Unajua mie ckumwelewa huyo maziku ...ye anasema kuna mkono wa USA na washirika wake katika kuanzisha vurugu uko Ukraine wakati mi nilivoona ni kwamba Russia ndo alisababisha USA aingilie Kati kwa kuchukua Crimea
Huoni kwamba Russia ndo sababu..??
I feel lyk chuki zao 2 kwa USA
Xorry naomba unielezee jinsi America na washirika wake walivo husika katika kuanzisha mgogoro?? ..
bcz kwa mie nilivokua naona kwenye news ni kwamba mgogoro umeanzia pale Yule former president alipokataa kujiunga na European Union (EU)
Huoni tatizo lilikua humoumo ndani ambapo kulikua na...
Too sad umeongea hilo jambo bila kufatilia...
Hebu kafatilie list ya topics wanafunzi mwaka Wa pili wanazosoma na kuzifanyia research mwisho wa semester ya 4
Afu most of you mnataka 2waoneshe research 2lizofanya zinazo mdisprove uyo dr.peter while nyie reference yenu ni deception ambae amegoogle evidences toka kwenye articles za huyo Dr...
Anyways...mi na wenzangu hapa 2lijitolea kufanya research kwa mkereketwa yeyote anaepinga kwamba HIV...
Juz a question 2u Roman... Izo habari zote unazozisoma Google unadhani zinatoka wapi?...
Kila habari Ina reference zake chini.. Kama kweli umesoma io habari niliokutolea Google juz kukupa a history of that man mnaemsupport
Ukiangalia chini kuna so many reference & some of em zinatoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.