Recent content by Researcher

  1. Researcher

    Series (Special thread)

    Breaking bad 24
  2. Researcher

    Watumishi wa Umma njooni tukubaliane

    Msisahau kwamba ninyi ni sehemu ya serikali inayotajwa kufeli mkaanza kujiweka kando!
  3. Researcher

    Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

    Nimesoma maelezo yako yooote, sijaona mahali umesema amechukua rushwa, amefilisi shirika, ameshindwa kutimiza wajibu. Hebu nyoosha maelezo AMEFELI KIVIPI?
  4. Researcher

    Mbunge wa Nkenge, Asumpta Mshama lazima ung'oke 2015!

    Hata mimi namsapoti Kamala..
  5. Researcher

    Sensa ya WACHINA nchini Tanzania

    Mkuu ni vema ukashea chanzo chako kwa uwazi zaidi. Idadi ya juu zaidi ya wachina waliopo Tanzania niliyowahi kuisikia ni 30,000 (elfu thelathini). Pamoja na chanzo hapo Chini nimewahi kumsikia Balozi Lu akisema. Kumbuka pia China kuna watanzania wapatao elfu kumi. Mwenye idadi kamili ambaye...
  6. Researcher

    Ufisadi wa bilion 450: Dili ya Treni mpya Airport kwenda Mjini

    Hivi kumbe bendera ya nchi inaweza kuwa pazia la ofisi?
  7. Researcher

    Mbeya: Madaktari wagoma kudai mishahara yao

    Kichwa cha habari kimenichanganya, au pengine nina upungufu wa kiswahili kichwani. Nilielewa kwamba madaktari wamefanya mgomo kukataa kudai mishahara yao..
  8. Researcher

    Umuhimu wa bodi ya bei kwa uchumi mchanga kama wa tanzania

    Mkuu naona unakuja na wazo la kuanzisha taasisi au mamlaka mpya. Ukumbuke kwamba hii nchi ina taasisi nyingi na nyingine zinaibuka kila uchao. Sidhani kama suluhisho la kila tatizo ni kuanzisha taasisi mpya. Wakati mwingine ni swala la kuimarisha tu taasisi zilizopo. Pili baadhi ya hayo...
  9. Researcher

    Nyarandu kumuondoa Dr Nzuki?

    Hapa kuna mambo mawili. La kwanza ni uwezo na uthubutu wa Viongozi kuwajibishana. Hili ni jambo ambalo tumelikosa sana nchini kwetu, na ukosefu wa uthubutu huu umeigharimu nchi yetu kwa kiasi kikubwa.Kama taratibu zimefuatwa basi hiyo ni hatua moja muhimu. La pili hata kama sheria zimefuatwa...
  10. Researcher

    Semina za nje ya nchi : Motisha kwa watumishi wa umma au uharibifu wa kodi zetu?

    Barua pepe kama hii hapa chini huwa nazipata nyingi sana kama spams. Ila inmegundua pia kwamba watumishi wengi wa umma wanashiriki hizi semina na zinga gharama kubwa kuanzia ada mpaka gharama za malazi. Je semina hizi huwa zina tija kwa taifa letu au ni namna tu ya kuzipa pengo la mishahara...
  11. Researcher

    Ghorofa nne DSM zinatumia umeme mkubwa kuliko mkoa wa Mtwara

    Nilishawahi kujiuliza kwe nini hii nchi haiangalii matumizi endelevu ya nishati sambamba na kuongeza megawati? Kuna wakati tanesco ilikuwa na matangazo ya zima kifaa cha umeme kama hukitumii. sijui hiyo kampeni iliishia wapi. Pia sijui ni kwa kiasi gani wasanifu majengo wetu wanalipa...
  12. Researcher

    PICHA:Msafara wa kumnadi mbunge mtarajiwa-Ifunda mchana huu.

    Unataka uone magari hamsini ili upate cha kusema juu ya matumizi mabovu ya rasilimali?
  13. Researcher

    Mbio za Urais 2015: Lowassa na wenzake wakaangwa na Kamati ya Maadili

    Bora umeliona hilo. Maana ONYO linahusu kutovunja kanuni za chama. Haki zao zote katika chama zinabaki pale pale, hata uchaguzi ungekuwa ndani ya hiyo miezi 12 bado wangekuwa na haki ya kugombea kwa kufuata kanuni.
  14. Researcher

    SAID ISSA MOHAMED: Sitta alikuwa agombee urais CHADEMA 2010

    Niungane na wengi walioonyesha kumkubali ndugu Mohamed kwa umakini wake katika kujibu maswali. Hata hivyo napenda nionyeshe dukuduku langu katika utata unaojitokeza katika majibu yake. Dhima ya majibu ya bwana Mohamed inaweza kubeba sura tatu tofauti: 1. Kusema ukweli au kutoa simulizi ya...
Back
Top Bottom