Mbeya: Madaktari wagoma kudai mishahara yao

Hakika hii serikali inashangaza sana,sijui inatutakia nini watanzania,imefika mahali halmashauri zinatoa majibu ya jazba na kuwafokea watumishi wanaohoji kuhusu mishahara Yao,manispaa ya morogoro wametwaambia waalimu asiyeridhishwa na kutolipwa mshahara wa mwezi wa nne aache kazi,
 
Huko mbeya hamna msitu mkubwa huko, maana historia inaonyesha serikali badala ya kutatua kero huwa inang'oa watu kucha
 
Haraka ya nini hawajagoma mkoa wa mbeya ila ni hospitali ya mkoa tu na chanzo itv
 
Madaktari mkoani Mbeya wamegoma wakishinikiza kulipwa mishahara yao.
Source TV1.
My take : Serikali fanyeni haraka mgomo usije ukahamia Dar es salaam watu wakafa kwa DENGUE FEVER.

MADAKTARI halafu hawalipwi ?
 
Muhimbili kuna kikao cha dharura kesho kujadili huduma mbovu kwa wananchi na maslahi ya madaktari
 
HII NI PROPAGANDA TU KILA MTU ANAONGEA ANAVYOJICKIA KUONGEA SASA MIMI NAOMBA NIELEZE KILICHOTOKEA;MAANA NIPO ENEO LA TUKIO;;: MISHAHARA ILICHELEWA KWA KWELI NA VIONGOZI HAWAKUWAHI KULIONGELEA HILI RASMI ZAIDI YA HEAR SAY ZA HAPA NA PALE, WAFANYA KAZI TUKAAMUA KUONGEA NA UONGOZI ILI WATUAMBIE KULIKONI MAANA HATA UWEZO WA KUWAHI KAZINI ULIKUWA WA MASHAKA. MOJA YA OMBI ILIKUWA KUONANA NA MUAJILI "KATIBU TAWALA MKOA" AKAPIGIWA SIMU MSAIDIZ WAKE (AS1)"KWA KUFUATA UTARATIBU" AKAJIBU YUPO KIKAO CHA MWENGE CHUNYA ( WILAYA JILANI)
SO WATU WAKASEMA BASI AJE ALIYEACHIWA OFISI...HILO NALO LIKAWA GUMU SO WAFANYAKAZI BAADHI TUKAAMUA KAMA HAWATAKI KUJA TUSIKILIZA BASI SISI TUNAWASUBIRI ( JE HUU NI MGOMO)
BAADAE (KAMA DK KUMI BAADAE NA C SAA SABA KAMA VYOMBO VYA HABARI VISEMAVYO NI SAA NNE NA ROBO ASUBUHI) KAJA KATIBU TAWALA WA MKOA PAMOJA NA MSAIDIZI ALIYESEMEKANA YUPO CHUNYYA
WAKATOA HALI HALISI NA KUTUOMBA TUENDELEE NA KAZI PIA VITISHO KADHAA...
MWISHO WAKAONDOKA (HAWAKURUHUSU MFANYAKAZI YEYOTE KUONGEA WALA KUULIZA KITU)
WATU TUKARUDI KAZINI THATS ALL
MY TAKE:kiongozi asiyetaka kukutana na wafanyakazi wake huyo kweli ndo tunayemtaka ktka BRN?....INFORMATION IS POWER.
 
Are you a medical personnel?
 
Kichwa cha habari kimenichanganya, au pengine nina upungufu wa kiswahili kichwani. Nilielewa kwamba madaktari wamefanya mgomo kukataa kudai mishahara yao..
 
hata mimi mkuu, nimeishiwa hata point,.
 
HII NI PROPAGANDA TU KILA MTU ANAONGEA ANAVYOJICKIA KUONGEA SASA MIMI NAOMBA NIELEZE KILICHOTOKEA;MAANA NIPO ENEO LA TUKIO;;: MISHAHARA ILICHELEWA KWA KWELI NA VIONGOZI HAWAKUWAHI KULIONGELEA HILI RASMI ZAIDI YA HEAR SAY ZA HAPA NA PALE, WAFANYA KAZI TUKAAMUA KUONGEA NA UONGOZI ILI WATUAMBIE KULIKONI MAANA HATA UWEZO WA KUWAHI KAZINI ULIKUWA WA MASHAKA. MOJA YA OMBI ILIKUWA KUONANA NA MUAJILI "KATIBU TAWALA MKOA" AKAPIGIWA SIMU MSAIDIZ WAKE (AS1)"KWA KUFUATA UTARATIBU" AKAJIBU YUPO KIKAO CHA MWENGE CHUNYA ( WILAYA JILANI)
SO WATU WAKASEMA BASI AJE ALIYEACHIWA OFISI...HILO NALO LIKAWA GUMU SO WAFANYAKAZI BAADHI TUKAAMUA KAMA HAWATAKI KUJA TUSIKILIZA BASI SISI TUNAWASUBIRI ( JE HUU NI MGOMO)
BAADAE (KAMA DK KUMI BAADAE NA C SAA SABA KAMA VYOMBO VYA HABARI VISEMAVYO NI SAA NNE NA ROBO ASUBUHI) KAJA KATIBU TAWALA WA MKOA PAMOJA NA MSAIDIZI ALIYESEMEKANA YUPO CHUNYYA
WAKATOA HALI HALISI NA KUTUOMBA TUENDELEE NA KAZI PIA VITISHO KADHAA...
MWISHO WAKAONDOKA (HAWAKURUHUSU MFANYAKAZI YEYOTE KUONGEA WALA KUULIZA KITU)
WATU TUKARUDI KAZINI THATS ALL
MY TAKE:kiongozi asiyetaka kukutana na wafanyakazi wake huyo kweli ndo tunayemtaka ktka BRN?....INFORMATION IS POWER.

yaan mnapigwa vitisho mnakubali na hamjalipwa???eeeenh,
 
Back
Top Bottom