Upimaji wa udongo kwa kilimo bora
Mlingano, Tanga Tanzania
Kwa ukulima bora na wa kisasa tunawashauri wakulima na wawekezaji ktk kilimo kupima rutuba ya udongo ili kujua virutubisho vilivyomo kwenye udongo. Na hii itasaidia kujua
1. Aina za virutubisho vinavyopatina kwenye udongo ndani ya...
NAPENDA KUWAKUMBUSHA WALE WADAU WA MKONGE NA WALE WANAOITAJI KUWEKEZA KWENYE MKONGE KUWA MSIMU WA MAANDALIZI YA SHAMBA KWA AJIRI YA KUPANDA MKONGE NI SASA NA KAMA UKUBAHATI KUPATA DARASA LETU LA KILIMO CHA MKONGE NA FAIDA ZAKE TAFADHARI WASILIANA NASI WATAFITI KUTOKA KITUO CHA UTAFITI MLINGANO...
TUNATOA HUDUMA YA KUPIMA UDONGO ILI KUKUJULISHA VIRUTUBISHO VILIVYOMO NA AINA YA UDONGO HUO PAMOJA NA KUKUSHAURI MAZAO GANI YANAFAA KWA ENEO HILO LA SHAMBA LAKO NINI UNATANAKIWA KUKIFANYA ILI KUTUNZA VIZURI SHAMBA LAKO KUPIMA SAMPLE MOJA NI KWA GHALAMA NAFUU YA TSH; 50,000 NA SHAMBA KUBWA...
Kutokana na wadau wengi kutaka kujua hasa gharama za uzalishaji wa mkonge na muda gani unaaza kupata faida ikanilazimu niwaandalie hii bajeti ambayo tunaitumia kwa mkoa wa Tanga ila inaweza kubadilika kutokana na upatikanaji wa mahitaji na hali ya shamba ilivyo.
================== Ufafanuzi...
MSOMA MKONGE UNAKUBALI ILA KUTOKANA NA MAZINGIRA INATAKIWA UWE MKULIMA MKUBWA KIASI KWAMBA UWEZE KUNUNUA HATA MASHINE ZA KWAKO MWENYEWE KWA AJIRI YA KUFANYA DECOTICATION KWANI WAKULIMA WA MOROGORO NA TANGA WANATUMIA VIWANDA VINAVYO WAZUNGUKA
FAIDA ZA KILIMO CHA MKONGE
Mkonge hauitaji uangalizi wa juu kama mazao mengine , ni uwekezaji wa mda mrefu ambao unaingiza ghalama kubwa mwanzoni tu baada ya hapo unakuwa unatengeneza faida, soko lipo la uhakika na ambalo kwa sasa linazidi kupanda, faida yake ni kubwa kuanzia mwaka wa nne...
FAIDA ZA KILIMO CHA MKONGE
Mkonge hauitaji uangalizi wa juu kama mazao mengine , ni uwekezaji wa mda mrefu ambao unaingiza ghalama kubwa mwanzoni tu baada ya hapo unakuwa unatengeneza faida, soko lipo la uhakika na ambalo kwa sasa linazidi kupanda, faida yake ni kubwa kuanzia mwaka wa nne...
Nadhani kaelewa unajua kitendo cha serikali kuzuia hela za ovyo mtaani za kulewa, kuonga, pembe za ndovu, madawa ya kulevya na kubaki hela halali za jasho wale waliozoea izo hela wakaaza kuhaa na maisha yao kuwa magumu na kutufanya watuvwote tuimbe huo wimbo fanyeni kz vya bure vinaua. Hapa kz tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.