Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Nimeshangazwa na hili gazeti la Jambo leo. Yani serious issue ya uchumi wa taifa letu hili gazetu linatumia nguvu nying kupotosha Jamii.
Jana IMF ilitoa onyo kwa serikali ya Tanzania ikisisitiza kuwa uchumi unaelekea kubaya. Sasa hawa eti wanasifia.
Wanadai eti serikali iachilie pesa.serikali Itaruhusuje pesa wakati imefilisika inaangaika kutafta mikopo?