Recent content by Rene

  1. R

    JamiiForums Tanzania Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    Huu ndio Waraka/Mkakati uliopelekea Kitila na Zitto kupoteza uanachama wao ndani ya CHADEMA Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto kuvuliwa uanachama CHADEMA - JamiiForums
  2. R

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    Moderators naomba muweke hii voice clip hapo juu kwa faida ya ambao hawakuskia https://soundcloud.com/newsaddict/serukamba?utm_source=soundcloud&utm_campaign=wtshare&utm_medium=Twitter&utm_content=http://soundcloud.com/newsaddict/serukamba
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Andrew Chale anusurika kutekwa na watu wasiojulikana

    Mhhhhhhhh
  4. R

    JamiiForums Tanzania Denis Msaki ni nani Katika siasa za Tanzania?

    Duh, hii inadhihirisha wazi mikakati ya chadema dhidi ya Zitto na marafiki zake kumbe imeanza sikunyingi! Lakini nashauri tusihukumu kabla hatujapata picha kamili, tuendelee kuvuta subira naamini tutayajua mengi!!!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lwakatare na sababu 2 za uthibitisho wa Mtonyaji Serikalini kuihujumu CHADEMA

    Kama polisi wanafuatilia huu uzi wanapaswa kumchukua mleta mada ili awasaidie uchunguzi... jambo hili liko polisi lakini nashangaa kwanini watu wasiwe watulivu na kuelekeza nguvu zao kuhakikisha wanathibitisha njama hizi kuwa ni za uongo!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Polisi, video ya Sheikh Ilunga na ya Lwakatare ipi inajieleza? Sheikh Ilunga yuko wapi?

    Two wrong s does not make it right lakini hakuna maelezo yoyote nitayaelewa kwanini the so called Ilunga hajakamatwa mpaka leo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    Nina mashaka na wewe kama kweli umeangalia ile clip, kuna mipango yoyote ya mauaji imemskia au kumuona Lwakatare akiipanga?
  8. R

    JamiiForums Tanzania SIRI ya kutekwa Kibanda, video ya Lwakatare zazidi kufichuliwa

    Mkuu we think alike! Baada ya kupost comment yangu nakuta nawe umeandika same thing!
  9. R

    JamiiForums Tanzania SIRI ya kutekwa Kibanda, video ya Lwakatare zazidi kufichuliwa

    Jamani tuache Mapenzi, kama mleta mada ana refer email aliyoiweka hapa mbona hakuna sehemu yoyote inayosema kwamba mkanda huu ni wa kutengeneza? Ukisoma na sober mind utaelewa wanapongezana kwa kufanikiwa kupata mkanda unaaonyesha mikakati/ siri za ndani za Chadema!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

    Mkuu hapa unanichanganya... nijuavyo mimi hii kamati ni "oversight committee" na hivyo ni lazima iongozwe na upinzani, wakati composition kubwa ni wabunge (ambao ni wapiga kura) ni CCM, na nimeona safari hii wabunge wa chadema kwenye kamati hii ni 3 tu, sasa tulitarajia nani wampigie kura...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Waislam: Polisi waanza kulipua mabomu ya machozi maeneo ya Kariakoo!

    Mkuu nafikiri yatatosha maana Kova alishajipanga ipasavyo na kuomba aongezewe vifaa
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jahazi lazama Nungwi, Zanzibar leo

    Lahaula! nini tena hiki?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe ashutumu serikali - elimu, wabunge wachangie elimu badala ya harusi

    Huyu MB wa CCM huwa ananiacha hoi jinsi anavyoikosoa Serikali bila kuona aibu. Ila sina uhakika mwaka 2015 kama atagombea ubunge kupitia chama gani
  14. R

    JamiiForums Tanzania JK amteua Dr Migiro kuwa Mkuu wa OUT

    Ngoja tumpe nafasi Dr tuone ana nini cha kutuonyesha. Kila la kheri mama
  15. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ipo siku, uhuru wa fikra utawang'oa madikteta!

    Zitto Kabwe | Raia Mwema | Toleo la 279 | 30 Jan 2013 DK. Mahathiri Mohammed alikuwa Waziri Mkuu wa Malaysia kwa miaka 22. Hata hivyo, haikuwa ni kazi nyepesi kwake kufikia nafasi hiyo ya juu kabisa ya uongozi nchini humo, alipitia mitihani mingi na mikubwa. Nitaieleza kidogo. Mahathir...
Back
Top Bottom