Maandamano ya Waislam: Polisi waanza kulipua mabomu ya machozi maeneo ya Kariakoo!

Status
Not open for further replies.

Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,558
7,156
Hali sio nzuri maduka mengi ya wafanyabiashara yamefungwa na kwa sasa ni mabomu ya machozi yanalipuliwa.

Polisi imepambana na watu wanaodaiwa ni waumini wa Kiislam walioandamana maeneo ya Kariakoo kudai dhamana ya Sheikh Issa Ponda
 
Salamu jukwaa,
kuna tetesi mapambano yanaendelea kariakoo kati ya waandamanaji na polis,walioko pande hizo fuatilieni mtujuze tafadhali.....
 
Mimi binafsi nnafanya biashara kariakoo tumeshafunga maduka kila mmoja anatafuta ustaarabu wake wa kwenda nyumbani.Hal hii ya fujo za kila mara ikiachwa ikaendelea itadidimiza uchumi wetu pia ukizingatia kariakoo ndio kitovu kikubwa cha biashara nchini.Fujo hazijengi zinabomoa,na fujo hizi ni kati ya waislam wanaotaka kuachiwa kwa shekhPonda.
 
Hakuna maana mwanaume wa kupambana na kina Marwa, labda uniambie kuna wahuni wanaiba bidhaa za watu na polisi wanawakimbiza, hapo nitaelewa
 
Nipo maeneo ya Kariakoo muda huu, Polisi weshaanza kulipua mabomu, kuzuia waislamu wanaotaka kuandamana kushinikiza kuachiwa kwa dhamana Sheikh Ponda. Kwa hiyo tahadhari kwa watu mnaokuja maeneo ya Kariakoo muda huu, muwe waangilifu, maana hali si shwari saana!!
 
hao jamaa ilibidi waunganishwe wote kwenye kesi ya Ponda, inaonekana ellshabab masalia hao.!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom