Recent content by REMSA

  1. REMSA

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

    Na wao walitoa mapendekezo yao, lakini yamepuuzwa na Nhif na serikali, unategemea wafanye nini!!? Wakikaa kimya muda si mrefu watafunga vituo kwa kushindwa kuendesha, ndio maana wameona ni afadhali kuacha kutoa huduma ili iwafanye Nhif na wizara wakubali kukaa chini kuweka sawa
  2. REMSA

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80

    Dah!!! Mbona taarifa kwenye database ya dunia inaonyesha tuna asilimia chini ya moja!!!
  3. REMSA

    JamiiForums Tanzania TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

    Poleni sanaa, MUNGU awafariji katika kipindi hiki kigumu
  4. REMSA

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji arejea Tanzania

    Manji amejenga bonge ya nyumba zake alizokuwa anaishi na familia yake upanga
  5. REMSA

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jamii inahitaji msaada wa MUNGU
  6. REMSA

    JamiiForums Tanzania Serikali ifunge ukurasa wa Ben Saanane ukweli ujulikane

    Nilikuwa nimewasiliana na Ben siku moja kabla ya kutoweka kwake, nalazimika kusamehe wahusika kwa sababu tu, nisiposamehe sitasamehewa,but niliumia sanaa kutoweka kwa Ben
  7. REMSA

    JamiiForums Tanzania Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

    Hata hilo unalosema ni hekalu lililojengwa na Sulemani ambalo lilivunjwa na Warumi, halikujengwa na Sulemani,bali lilijengwa na Wayahudi baada ya kurudi kutoka uhamishoni Babeli, hekalu la Sulemani lilivunjwa na mfalme Nebukadreza mwaka 586 BC
  8. REMSA

    JamiiForums Tanzania Je, biblia ni copy & paste ya hadithi za kale za kipagani na sio UHALISIA?

    Biblia huwezi kuilinganisha na vitabu vingine kwa sababu Biblia ni "Neno la MUNGU lililovuviwa" siyo hadithi Ukiiumia maandiko ya Biblia vitu vinatokea
  9. REMSA

    JamiiForums Tanzania Meya Issaya Mwita atoa tamko

  10. REMSA

    JamiiForums Tanzania Ijue historia ya mgogoro kati ya Iran na Marekani

    TRANSPONDER, Leo umenifanya nimeugawa muda wangu kazi na kusoma hii, asante sanaa mkuu
  11. REMSA

    JamiiForums Tanzania Aina Mpya ya Sinema; Mtuhumiwa Anahojiwa na Vyombo vya Habari

    Tafakari kwanza,.... hivi tukio kubwa kama hilo lililochafua picha ya nchi kimataifa eti unamkamata mtuhumiwa na kumkabidhi kwa vyombo vya habari ajieleze!!shame on you!! Kwa nini asingetumika kama chanzo cha habari kuwafuatilia hao watu!! Kama mmeambiwa alikowaacha na siku kuna ugumu gani...
  12. REMSA

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mfanyakazi wa TTCL afariki kwa kupigwa jiwe na Mumewe

    Baba asiyejitambua ameshaharibu future ya mtoto dah!! Baba selo na mama mortuary halafu mtoto yuko kwenye mitihani!! So sad
  13. REMSA

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Bado akili zetu na nafsi zetu zinagoma kusema “R.I.P Ben😭😭Bado tunautumainia wema wa Mungu.
Back
Top Bottom