Recent content by REgy 2pa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nin wanaume wengi wa kiafrica huwa tuna haka katabia?

    Sio waafrica tu Bali ni nature yabinadamu wote,
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ardhi university...

    Nimiongoni mwavyuo vilivyoongoza kuombwa.ikiwemo udsm ardhi na muhac
  3. R

    JamiiForums Tanzania Pongezi UDSM kwa udahili makini.

    Maneno hayo hata kwenye lugha yapo
  4. R

    JamiiForums Tanzania BA. in Economics ya UDSM

    Habari wakuu, Naomba kuuliza, vipi hiyo course ipo 'tafu' sana? Ningependa kupata ushauri kidogo kwa wanaoifahamu.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ruaha catholic university

  6. R

    JamiiForums Tanzania Degree programs zinazoongoza kwa kula vichwa pale UDSM

    Hv hyo economics ni ngumu hvyo mnanitisha
  7. R

    JamiiForums Tanzania Degree programs zinazoongoza kwa kula vichwa pale UDSM

    Broooo unanitisha me nmepangwa economics
  8. R

    JamiiForums Tanzania UDSM on Air...

    Nashukuru mungu nmepata udsm
  9. R

    JamiiForums Tanzania India: Mwanaume abeba mwili wa mkewe Km 12

    Umeonae kaka waindi ni jamii ambayo kwangu mm nadhani wanaongoza kwa ubaguzi duniani,hata hapa tz tunaishi nao lakn sio watu hao.Asilimia kubwa ya waindia maskini ni waindi weusi
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnapatwaga na ibilisi gani?

    Me nakushauri jaribu kwenda kuwaambia wazazi wake na ndugu zake wao wanamjua vizuri wanaweza wakamshauri akashauri,then jaribu kuact kama unaanza tena kumdate atarudi kwenye reli tu kama anakupenda na hilo pepo lililo mwingia litakimbia kwa aibu
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi ya kusoma diploma yoyote?

    We risiti mwakani unaenda kuchukua bachelor,diploma utamalZa pesa tuuu tena bado utataka upge degree .hyo n process ndefuu sana we risiti tuu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi ya kusoma diploma yoyote?

    Risiti hayo mawili uliyo fell hyo d usiigusee d ni nzurii
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    Daah kweli education nowdays hainasoko...ngoja niikimbie tuuu
  14. R

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa St.Joseph University Of Information Technology

    Umechaguliwa certificate ,diploma,degree,master au
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuifahamu B.A. Economics ya UDSM

    Hivi hiyo coz kwa first year topic zake si zile zile za advance level au kuna kitu kipya?
Back
Top Bottom