Sijui shida ni nini tu? Maana Kiswahili ni lugha nzuri tu yenye hadhi na viwango stahiki vya lugha bora.
Magufuli haishi kuchomekea vimaneno vyake vya broken English ; hata kwenye mkutano wa wakuu wa jumuiya ya Afrika mashariki alinishangaza kwa kuingiza vijimaneno vyake vibovu vya kiingereza...
Sikusema hatukuwa na tunu. La hasha, isipokuwa hizo "tunu" zilikuwa ni dhaifu sana.
Mavazi tuliyovaa yalikuwa duni mno. Tulivaa magome, majani, na ngozi, au kutembea uchi.
Utawala wa machifu ulikuwa ni wa kihayawani tu! Hapakuwa na ustaarabu wa kisasa wa kibunge na kimahakama. Tulitawaliwa...
1)Waafrika Walikuwa na maliasili nyingi na madini ambayo hawakujua kama ni madini wala hawakuona thamani yake! Mzungu amezithaminisha maliasili na rasilimali.
Masoko, uchimbaji, uhifadhi, na uchakataji wa madini unafanywa na ulifanywa na wazungu, sisi hatukujua lolote lile. Tulichezea mdako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.