Recent content by Regbush Kiria

  1. Regbush Kiria

    Mtoto wa JK aula Etihad Airways

    safi snaa capitainiiii
  2. Regbush Kiria

    Kutoka Dodoma: Pinda, Werema na Muhongo wataka zigo la Escrow abebeshwe Kikwete!

    Mleta mada, hayo ni mawazo yako au Ndo mambo yaliyo jiri Dodoma??
  3. Regbush Kiria

    Hee! Ni kweli kagame ameua 6,000,000 congolese, 500,000 rwandans and 4 presidents in office..???!!

    Mkuu jamaa awauwe wote na awamalize kabisa,lakin asije akajaribu kumgusa Jakaya
  4. Regbush Kiria

    Kulikoni huko Goma?

    Watu wengine bwanaaaa!!!sasa ni swali gani jamaa jauliza
  5. Regbush Kiria

    Mkasa wa nyoka 2000 kusafirishwa kwenye ndege ya abiria

    Muvi inaitwa sneak in the plean: stars samwel l Jackson
  6. Regbush Kiria

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Wakuu mwaminini uyo Mtoto wa Ratco!!m nauliza hiv kwenye hii nchi hakuna matajiri wenye biashara kubwa kubwa,maana business zote kubwa na magorofa yote nchini niya Rithiwan!!!
  7. Regbush Kiria

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Mtoa mada umechemka sanaa!ni kweli Israel ni Taifa bora sana lakini ukupaswa kuingiza uislam na ukristo ndani yake,ayo ni mambo ya kidiplomasi,hayahusu dini,sawa Mkuu?
  8. Regbush Kiria

    The Illuminati is real, and it's everywhere

    Sasa Mkuu,ina maana mtu akifiwa na Mzazi au ndugu wa karibu,alafu baadae sana akawa Tajiri nae ni illuminati?? mfana c.ronaldo baba yake alifariki akiwa bado mdogo then kapambana kawa Tajiri...daaa hii inafanya hata ss tulio fiwa na ndugu wa karibu tuogope kuwa matajiri
  9. Regbush Kiria

    Mlioshangaa makazi ya hayati Waziri wa Fedha haya njoo mstaajabu ya IGP Mangu

    Basii IGP asizubutu kukamata pombe ya kienyeji
  10. Regbush Kiria

    Sheikh Kaluta Amri Abeid ni nani katika historia ya taifa hili?

    Asante sana mkuu Kwa kunipa somo la nguvu
  11. Regbush Kiria

    Nini chanzo cha vita ya kagera?

    Sasa mbona kuna upinzan zidi ya historia!!yaan nataka kujua Nyerere alianzisha uchokoz kivipi??
  12. Regbush Kiria

    Ccm siasa ya arusha imewashindwa kabisa

    Noo!!unakose kusema tunampenda Lema,ss tunaipenda chadema na sio Lema
  13. Regbush Kiria

    Mawasiliano ya mbunge Lema na Amani Golugwa yaingiliwa

    Pambanen ni zamu yenu,tumesha wapambania sana Arusha tunataka maendeleo sio kelele tena
Back
Top Bottom