Recent content by regan morgan

  1. regan morgan

    Walioapply TANESCO, Customer Relation Officers

    Hv kwan waliofanya oral kwenye nafas hyo ya customer relation o,, wameshaingia mzigoni????
  2. regan morgan

    Kuitwa kazini tanesco!

    Kwa wale walioitwa kwenye oral interview ya customer relation officer pale Tanesco ubungo vp majibu ya yamekwishatoka?
  3. regan morgan

    Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    Leo balaa
  4. regan morgan

    Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    leo unga ziwe mbili
  5. regan morgan

    Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    :clap2: :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
  6. regan morgan

    Uraia wa nchi mbili na Rasimu ya Katiba Mpya: Toa maoni yako

    Kitu hicho kinafaa, na kwa TZ tumechelewa sana kuwanacho. Ila tatizo ni moja tu "Sheria tunajua kuzitunga ila usimamz wake hatuwez kuutekeleza" Matokeo yake itakuwa ni faida kwa wauza unga
  7. regan morgan

    Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

    Kwa hadith hii inaonyesha kuwa unakipaji, "keep it up"
  8. regan morgan

    Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    AU kwa vile king'amuz cha CONTINENTAL kinachomilikiwa na sahara communication inayomiliki star tv, redio free na kiss fm. Na kwa upande wa IPP wanamiliki king'amuzi cha DIGTEK. Lakini sizani kama hii itakuwa sababu tosha
  9. regan morgan

    Natafuta mpenzi

    Jifunze kudanganya maana umechukua moto ukatumbukiza ndan ya sufuria la maji ukizani kuwa maji yatachemka kumbe unauzima.
  10. regan morgan

    Hapa Dodoma: Mambo ni moto!

    siunajua utaifa kwanza siasa (ushabiki wa vyama) baadae
  11. regan morgan

    Huwa anatokwa na haja kubwa wakati wa mavituz part 2.

    "Kumbuka kuwa hicho kichwa hakina mabega ya kuzuia kuingia"
  12. regan morgan

    Hapa Dodoma: Mambo ni moto!

    Tatizo pesa wanazolipwa ni nying mno mpaka wanazipeleka kwny pombe na mabinti.
  13. regan morgan

    Nameza Mkuki leo BARCA asiposhinda Nou-camp!!

    Line-up confirmed! BARCELONA Valdés, Alves, Piqué, Cesc, Xavi, Villa, Iniesta, Sergio, Pedro, Jordi Alba, Adriano
  14. regan morgan

    UEFA Champions League, Special Thread

    Line-up confirmed! Valdés, Alves, Piqué, Cesc, Xavi, Villa, Iniesta, Sergio, Pedro, Jordi Alba, Adriano
  15. regan morgan

    UEFA Champions League, Special Thread

    PSG safari yao imefikia mwisho, BARC 2-0 PSG
Back
Top Bottom