Recent content by Refrector

  1. Refrector

    JamiiForums Tanzania Mining ni pesa isiyo na jasho

    Mining zipo za aina nyingi na kama unahitaji kuzijua za Bure zipo pia nyingi Sana na ni jinsi tu ya kuoneshwa hii fanya hii acha...kifupi uwe na mjuvi wa haya mambo usikurupuke🤗 Mm nilikuwa kama ww nahofia pesa yangu but nikamwambia alonielekeza hii kitu kama ni ya kuwekeza pesa mm sintaiweza...
  2. Refrector

    JamiiForums Tanzania Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

    Freelancing, ... etc
  3. Refrector

    JamiiForums Tanzania Mining ni pesa isiyo na jasho

    Jamani watanzania tuamke Dunia inaenda mbio sana. Kama utang'ang'ana na biashara moja hakika kilio kwako kiuchumi kitakusonga hivyo jifunze kujivunia pesa mtandaoni kama wenzako wanavyofanya. Kwanini bando lako liwe la kufacebuka tu na kuwasapika tuu bila kuingiza hata mia... Shituka ingia...
  4. Refrector

    JamiiForums Tanzania Wale tunaofanya kazi online tukutane hapa

    Nipo hapa nafanya freelancing pia nafanya Mining so kwa link za mining mpya njoo ninazo kibao ikiwepo Pi,Bondex,Sidra bank nk karibu inbox nokujuze pesa za ubwerere za mtandaoni
  5. Refrector

    JamiiForums Tanzania Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

    Njoo Kalynda hapa hapa dar ofisi zipo pale posta ni digital marketing ....mtaji kima cha chini ni 20,000/= unaclick mala 20 unapata commission yako haihitaji elimu Wala nguvu no rahisi tu watu tunaishi kama wafalme hapa mjini kwa hiyo kitu 0765497859
  6. Refrector

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa jobless kufahamishana mbinu wanazotumia kuishi

    Acha ujinga njoo Kalynda huku utasahau njaa na kuwa chawa wa mtu nicheki 0765497859
  7. Refrector

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu sana siku hizi

    Jamani nilibomolewa sehemu ya biashara yangu pale ubungo nikahisi nimehama duniani hali ilikuwa ngumu basi humu humu ndani nikakutana na Uzi wa Kalynda aisee mbaka Leo ninamiezi miwili kile kilip chabumasikini kwisha maana Kila Ijumaa napakua mzigo wangu na kula mema ya nchi ukiwa interested...
  8. Refrector

    JamiiForums Tanzania Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Nenda Bank yoyote ya CRDB au Makao makuu posta ya zamani google utapata location yao utahudumiwa
  9. Refrector

    JamiiForums Tanzania Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Niliwekaga 2016 Umoja Fund halafu nikasahau kama ninahela mahali ...at least nimekuta kahela kamekua kakubwa mwaka huu
  10. Refrector

    JamiiForums Tanzania Wazo kubwa la kibiashara 'Entertainment Group'

    Hapo Ili upate watu wa kuweza kumanage at least entry fee iwe 100,000/= ni sawa na watu 2000 tu. Na hata kikao kikiitwa tunaweza wote Kaa kwenye viti...Maoni tu 🙏
  11. Refrector

    JamiiForums Tanzania Kazi uipende sio uhitaji tu

    Ombi kwa wahitimu wote watafutao kazi ukipata kibali cha kufanya kazi hata ya kujitolea na uifanye kwa kiwango kizuri hata mlipaji atajisikia kukushikilia Ili usiondoke maana hata kibiblia huwezi mfukuza kazi Yakobo Bali Esau utamfukiza hii yote naongelea (Performance). Fanya bure Ili...
  12. Refrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuwa na stress kiasi kwamba wanapopata msongo mwingi wa mawazo wanafikia hata kuongea barabarani peke yao

    Niliandika heading nzuri na fupi but nilipo upload heading nazani ni system tu ikawa hivyo lakini ujumbe utaeleweka tu Asante
  13. Refrector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuwa na stress kiasi kwamba wanapopata msongo mwingi wa mawazo wanafikia hata kuongea barabarani peke yao

    Kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kuwa na stress kiasi kwamba wanapopata msongo mwingi wa mawazo wanafikia hata kuongea barabarani peke yao kiasi kwamba ameshindwa wa kumshirikisha jambo lake hasa la kindoa Ili kupata suluhu ya anayoyapitia kwa wakati huo. Pia kunawimbi la wanawake wengi...
  14. Refrector

    JamiiForums Tanzania Kila nikipata Wazo la kutafuta Mali kishirikina roho inagoma

    Mali halali ni hiyo ya jasho lako huko kwingine utasahau hata Kama ulikuwa na biashara hiyo sio shida Sana ila sasa mashart yao ndio utaingia kwa mtego mazima.
  15. Refrector

    JamiiForums Tanzania Roho ya kukataliwa

    Usijiwazie negative maana maandiko ya biblia yanasema UKIONACHO ROHONI MWAKO NDICHO KITAKACHOKUJILIA....chunga Sana moyo wako maana ndiko kutokako chem chem ya uzima ..Hivyo Anza kujikubali mwenyewe na wengine watakukubali, jipende mwenyewe na wengine watakupenda ..
Back
Top Bottom