Recent content by reformist

  1. R

    JamiiForums Tanzania Amani A. Karume ni mboni, ikiguswa CCM 'itafutika' Zanzibar

    Tatizo ccm wamejipa hati miliki ya tanzania hawataki chama kingine kiingie madarakani kwa ufupi sioni sababu ya kufutwa uchaguzi au kwa sababu cuf ilishinda that why wakaamua kufuta matokeo ya uchaguz. Kwa mara ya kwanza jecha kaonekana jana kwenye sherehe za mapinduzi hii inamaana anahifadhiwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini "Service charge" ya TANESCO ni tatizo linalohitaji utatuzi wa haraka!

    Nilinunua umeme wa elfu kumi nikaambulia units 9 tu makato yalikuwa mengi zaidi yaani karibia elfu nane ilikatwa dah tanesco ni jibu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaj muanzisha NGO

    Wadau naomba msaada ni njia zipi natakiwa kuzifuata ili nimiliki NGO
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ijue kampuni ya Bam international

    Una apply vipi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kati ya Dr. Ayub Rioba na Dr. Bashiru Ally, yupi ni mchambuzi mahiri kuliko mwenzie?

    Unamaanisha nn unaposema msomi pekee kwenye taaluma yake?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yanunua mashine mpya ya CT-Scan ili kuboresha huduma hospitali ya Muhimbili

    Wabongo bwana yaani jamaa anatamani kuumwa akaingizwe humo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanaharakati wa siasa, Humphrey Polepole yuko wapi?

    Mission accomplished
  8. R

    JamiiForums Tanzania Prof Euphrase Kezilahabi: Mwanazuoni anayehitajika kwenye ujenzi wa taifa hili

    Jf ni university tosha
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kamanda Suleiman Kova astaafu rasmi Jeshi la Polisi Tanzania!

    Kasomeshwa namba
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Stendi Kuu Ya Mabasi Songea, wawatia hasara wafanyabiashara

    Kwa nchi za wenzentu zinazoheshi haki na misingi ya sheria walipaswa watulipe
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Stendi Kuu Ya Mabasi Songea, wawatia hasara wafanyabiashara

    Tutamuuzia nan na pale ni eneo la jeshi
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Stendi Kuu Ya Mabasi Songea, wawatia hasara wafanyabiashara

    Kwa hiyo yale mabanda waliotujengesha kule msamala tutayafanyia nn
  13. R

    JamiiForums Tanzania Safari ya Dar Mwanza kuna hili basi ni majanga

    Ukitaka kuwahi panda kisbo ni sheeda na ukitaka luxury panda leo express au kisesa bro kama nauli yako ni pungufu panda best line hata ukiwa na elfu 25 mwanza unafika
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ina maana gani kuning'iza|kutundika viatu juu ya nyaya za umeme mitaani?

    Waungwana naomba kufahamu maana ya kuning'iniza kiatu kwenye nyaya za umeme kwa maana hii kitunimekutananayo seheme nyingi tofaut tofaut ukienda magomen au kinondon utakutana na viatu vingi kwenye nyaya za umeme pia nimewah kusafir nje ya nchi nikakutana na hii kitu hata ukianga baadhi ya muvi...
Back
Top Bottom