Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Wadau wa jf rejeeni kichwa cha habari hapo juu,kama unatafuta ajira tafuta hiyo kampuni inahusika na mambo ya ujenzi inaajiri watu kutoka mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania hivo changamkia dili jamaa wanalipa vizuri ukiwa na cv na kazi unaijua hawajivungi.Hawana ajenti apply mwenyewe.