Recent content by Redlum

  1. R

    Nusu ya wanawake udanganya kuhusu 'makoloni yao ya zamani- Utafiti waonyesha

    Bodaboda inabeba wawili tukigawa kwa mbili anabaki mmoja ambaye ni wewe pekee
  2. R

    Nusu ya wanawake udanganya kuhusu 'makoloni yao ya zamani- Utafiti waonyesha

    rr Heri umekuwa muwazi maana nijuavyo ukisikia mwanamke anataja idadi ile idadi zidisha mara tatu kuna wale wa one night stand na wale alitumika kama chambo wenzie wakafaidika huwa hawasemwi maana wengi wao hupunguza kuonyesha wametulia pia wanaume nao ujivuni mwingi wakiwa wao kwa wao...
  3. R

    Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

    Hey dude respect yourself whether you stay in Songea or Dodoma she doesn't give a f.u.c.k usilazimishe kujibiwa ulichoandika kwenye pm na usilazimishe urafiki sasa umevuka mipaka
  4. R

    Jamii forum hii lol!

    Aaaaaa Dinazarde nilikuwa nakupa tu angalizo maneno yote haya sio ya JF ni whatsapp utaonekana fix nyingi kutaja mambo mengine hadharani inakuwa kama naibiwa jua kubalance niltegeme likes tu ukaondoka sitaki ligi nilikuwa nakutonya tu lol!
  5. R

    Jamii forum hii lol!

    Nawe dear umeingia JF kuelezea yaliyokusibu badala ya kuniandikia tu whatsapp nami nikaacha kujitokeza lakini maadamu uliandika kuokoa mahusiano hilo umefanikiwa maana hali ilikuwa mbaya. Lakini sasa nakukumbusha kuwa kuandika kwako huu uzi nami nikatokea jiandae kwa yafuatayo JF, less likes...
  6. R

    Jamii forum hii lol!

    Mbona anajibishana sana tatizo ni kujibishana au ni kwenda kinyume cha maadili? Wapo wengi wanawake wamo humu na jamaa zao hawajui maana waliwazuia wakaamua kwenda kwa fake ID's kwahiyo kipi bora uone asemacho au akufiche hayupo jamii kumbe kajaa kama bwabwa la Eid katika karne hii watu wana...
  7. R

    Jamii forum hii lol!

    Umenikumbusha jambo leo ni ukaguzi wa simu na vinotebooks kulinganisha majina yaliyomo sawa na yale ya kwenye simu. Eti simu nzima majina ya wanaume ni sita mimi, kaka yake, baba yake, mjomba wake, baba yangu na mme wa dada yake jamani hii imekaa sawa? wakati PM zimejaa midume pia michumba mingi...
  8. R

    Jamii forum hii lol!

    karne ya 21 sio ya kuzuiana mwenza kuingia kwenye forum, nyie ndo watu msemao demu wangu hana mambo ya hovyohovyo Jamii haingii hana whatsapp wala viber maana anasema ni anasa kumbe huyo mkeo au mpenzi wako kajaa sana JF anatumia jina mbadala kwa mipasho na matusi ndiye mwenyewe ukiwepo...
  9. R

    Jamii forum hii lol!

    Naifanyia kazi hii statement uzuri mambo haya wanaume huyajua ila pia kuwa na negative thoughts huwa si jambo jema bali ni kuwa makini zaidi bila kuoverlook mambo
  10. R

    Jamii forum hii lol!

    Nimeshangaa kafungua uzi ila uzi ulikuwa na mashiko badala ya kuchukia zaidi umebadili ban kwake
  11. R

    Jamii forum hii lol!

    Shemeji nishamsamehe hapa usiku nilikuwa macho nimesusia na kitanda ligi ilihamia nyumbani na kwake ilikuwa mgumu kama kwa Manchester United kwa maneno yenu mazuri na yeye kutoa Uzi sikujua kama kafanya vile alishasamehewa. Cha kushangaza alikuwa anasingizia JF nikamwambia JF haina tatizo wenye...
  12. R

    Jamii forum hii lol!

    Ulishasamehewa ila nimekuwa shocked kuona umetundika mpaka Uzi JF unataka kujitoa mpenzi wangu endelea kuendeleza gurudumu la Jamii niko proud na wewe uwe huru nafurahia kukuona mwenye furaha na unaendeleza maoni, majibishano na ligi za jamii ila tusiwe transfixed Sana tukajisahau kama kitendo...
  13. R

    Jamii forum hii lol!

    Hapa inatokana na aina ya mme au boyfriend uliye naye kwa upande wangu mwandani wangu Dinazarde simzuii kuingia JF tusichanganye habari. Kilichotokea siku mzima nilikuwa busy na kazi naye akaingia JF kwakuwa hakuwa na shughuli nyingi baadaye nikampigia simu Kisha tukaingia whatsapp cha...
  14. R

    Jamii forum hii lol!

    Alishasamehewa na nimemwambia sioni sababu ya yeye kutokuwa Jamii kuchangia hoja aendelee kama kawaida maana kila mtu na interest zake ili mradi haziendi kinyume na maadili
Back
Top Bottom