Recent content by Reddy

  1. Reddy

    Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

    Hii taarifa ni ya uongo. Vanesa anajielewa kupita watu wanavyojua
  2. Reddy

    Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

    Jamani yeye sio tester na wala hajawahi tumia. Na hilo mnalomuombea halitompata
  3. Reddy

    Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

    Vanessa Mdee hatumii hizo kitu huko ni kumsingizia na mshindwe. Mungu wake anayemtumaini anampigania daima. Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza. Keep rocking Vanessa
  4. Reddy

    Rais, Dr. John P. Magufuli, Mfikirie Ludovick Utouh kwa Wizara ya Fedha

    Naunga hoja mkono. Utoh is the right person for that post
  5. Reddy

    Waziri wa Fedha ndie kila kitu, Magufuli akichemsha hili, basi

    I support you 100%. Arnold Kileo is the right person for that post
  6. Reddy

    TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    Well said 👆
  7. Reddy

    United Kingdom statement on Zanzibar elections

    Haujui unachokiongea wewe. Kwani ulisikiliza vizuri malalamiko yao na ukayaelewa? Sometimes tafuta information na uianalyse kwanza kabla haujaandika.
  8. Reddy

    Vijana wa Songea wakienda kuizika UKAWA

    Wataendelea kubaki maskini na bila elimu for the rest of their lives.
  9. Reddy

    GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Mie Makamba, Wasira, Ole sendeka, Mrema, Mwakyembe, Nape, Laughlin, Nyalandu naona kama bado vidole vinataka endelea kuandika...
  10. Reddy

    Bongo star search 2015

    I agree too
Back
Top Bottom